Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
Mwamba huyu amenyooka, hana DoaTundu Lisu Yuko safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba huyu amenyooka, hana DoaTundu Lisu Yuko safi
😀😀Mark Bobani
Ni fedha tu kama alizopewa Yuda Iscarioti ndiyo zimemchefua Lissu. Jaribu kumpa kama hatafunga domo lakeUmepagawa Stuxnet?
Hadi watu wa Mpwapwa wamemwelewa......Lisu amefika level ya mbali sana.Namelewa sana kamanda LISSU
Lissu ameshajaribiwa na Mashetani kibao kuhusu Pesa Chafu. Wewe mwenyewe unajua sema unataka Ligi tu.Ni fedha tu kama alizopewa Yuda Iscarioti ndiyo zimemchefua Lissu. Jaribu kumpa kama hatafunga domo lake
Mitando ya Kijamii na Vyombo vya Kimataifa vinamwita Chief Whip Opposition LeaderTL ni nguli hasa kwenye medani za siasa na ni mwiba mkali kwa CCM, hawa jamaa wanamuogopa kama ukoma maana wanajua fika kwenye uchaguzi huru hawawezi kutoboa hata kidogo
Mkuu naona wewe ndio umerogwa zaidi.Hii nchi ina watu wana vichwa vibovu sana.
ukiwa unaeneza chuki, udini, na ukabila ndio unaonekana nguli na shujaa.
Hii nchi nani kairoga?
Uko sahihi kabisaLisu tumemlea wenyewe Kwa umbumbu wetu wanaccm!!
Hivi tungeandaa katiba mpya mapema ya serikali tatu au mbili na keto za muungano Leo lisu angepata wapi jukwaa la kusemea ujinga wetu!!?
Hizo time za kisanga,nyalali na warioba zingefanyiwa kazi leo Lisu angejadili mengine!!
Tumekalia kupiga Dili,kulindana na kujaza matumbo TU hakuna anaewaza mstakabali was kesho yetu!!
Mimi mwanaccm nasema hivinLisu anaongea ukweli mchungu na ni upumbavu wetu ccm ndio umetufikisha hapa tulipo kwa kuendekeza wizi,ubadhirifu,rushwa siasa chafu,ujinga na umaskini wa fikra!!!
Tungefanyia KAZI ya warioba Leo Lisu angeongeo mengine!!!
Tundu Lissu awadanganye wasiomjua tu. Huyu hana tofauti na Magufuli kuanzia UDIKTETA, dharau, uropokaji hadi upendeleo.Tundu Lisu Yuko safi
Speculations without sound evidencesNa hiyo ndiyo sababu iliyomchefua Dr Slaa na Prof Lipumba ambao hawakupata mgawo.
Hujasema haya kwa bahati mbaya. CCM wamekuja na mbinu ya kufundisha watu cha kusema. Mtu timamu hawezi kuona issues za Muungano, Katiba, Tume huru sio mambo yenye mashikoShida ya upinzani hawawezi kutengeneza hoja zenye mashiko zaidi ya kupinga kila kitu na kueneza chuki dhidi ya wananchi.
Kuna vitu muhimu sana ambavyo upinzani wanatakiwa waviongelee lakini wao wako bize kupinga na kueneza chuki.
LISU pamoja na MBOWE ngoja niwasaidie fikra.
Chukueni ripoti ya CAG ichambueni mwamnzo mpaka mwisho.
kila sehemu ambayo CAG ameonesha kuna madudu jengeeni hoja.
Hiyo kitu itawasaidia kugusa kila idara ya nchi na mwananchi mmoja mmoja.
TANZANIA ni ya kwetu tunatakiwa TUIJENGE sio TUIBOMOWE
Weka ushahidi ? Na ni Katiba gani ingemfanya mpinzani kuwa Waziri Mkuu?Lissu ameshajaribiwa na Mashetani kibao kuhusu Pesa Chafu. Wewe mwenyewe unajua sema unataka Ligi tu.
Lissu angekuwa mbinafsi saa hii angekuwa Waziri Mkuu wa JMT.
Acha uongo.....Ishie mambo ya kiccm huko huko we kula maisha kupitia Mama lakino uongo uache.Tundu Lissu awadanganye wasiomjua tu. Huyu hana tofauti na Magufuli kuanzia UDIKTETA, dharau, uropokaji hadi upendeleo.
Mwaka 2010 alimuingiza dada yake ķwenye viti maalum vya CHADEMA. Christina Lissu (RIP) alikuwa hana uwezo wowote lakini nikashngaa ni mbunge kwa kuwa kaka yake ni Makamu Mwenyekiti.
Halafu msiomjua mnasema eti amenyooka!! THUBUTU
Hahaaa eti tazama aina hii ya watu wa ccmHujasema haya kwa bahati mbaya. CCM wamekuja na mbinu ya kufundisha watu cha kusema. Mtu timamu hawezi kuona issues za Muungano, Katiba, Tume huru sio mambo yenye mashiko
Usiyoyajuwa wewe wenzio wayajua. Kuita speculatio ni kuendeleza ubishiSpeculations without sound evidences
Mtoto mdogo sana wewe umezaliwa after 1990 huwezi kujuwaAcha uongo.....Ishie mambo ya kiccm huko huko we kula maisha kupitia Mama lakino uongo uache.
Stuxnet wewe umekuwa rigid na kitaka kuchafua watu wenye sifa safi.....utashindwa tu.Weka ushahidi ? Na ni Katiba gani ingemfanya mpinzani kuwa Waziri Mkuu?
Eti Lissu ale hongo......Unechekesha.Mtoto mdogo sana wewe umezaliwa after 1990 huwezi kujuwa
Kwani wewe ndiye Tundu Lissu?Eti Lissu ale hongo......Unechekesha.
HahaaKwani wewe ndiye Tundu Lissu?