Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Mnakuwa wajinga hadi mnakera. Kwanini analilia kupanda kitu ambacho kwa maneno yake hakina maana kwa watu.
 
Mkuu kama chechefu inageuka kuwa ni chefuchefu, nahisi una kichefuchefu kwa sababu ya uchefuchefu unaoupata kutokana na nondo na spana za Tundu Lissu.
 
Oooh, kumbe alikaribishwa Mwitongo!
 
Zitto ndie alianza
 
Hapo hata CCM wasio na hatia leo hawavuki Ukerewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Umewasikia wamelalamika. Mnampa chizi ndiyo aongoze chama kuwania Offisi kubwa na nyeti, mna Akili nyie!
 
Jemadari Lissu anawapenda sana Watanzania wenzake yuko tayari kupoteza maisha kwa kuliwa na Mamba lakini afikishe ukombozi kwa Watanzania hii ndio caliba ya kiongozi tumtakae
 
Ukijua maana ya ushamba wala hupati tabu .tatizo na wewe ni mshamba vile vile!
 
Huyu ndio kiongozi wa umma kiongozi wa wanyonge siasa zake kama maalim seif atafanikiwa pakubwa sana Tanganyika kama alivyoweza maalim seif kuwabadilisha wazanzibari wakaweza kujitambua ikabakisha wizi wa kura tu
 
Ndo aelewe kwa vitendo umuhimu wa daraja la Kigongo-Busisi.

Angepiga mbizi kabisa kuonesha maendeleo ya vitu hayana maana.
mbona hilo daraja haliendi huko alipoenda
 
Mshamba huku anataka kutumia alivyovibuni huyo huyo mshamba, kisa ati Kodi ya wananchi utafikiri ndio wameanza kulipa awamu hii.
 
Zaidi yule bwana ni kichaaa
 
Mbona kama umepanic?
Wamelalamika sana.
Umepanic wewe budha ndio maana umetoka ulikotoka na kuvamia comment yangu! Dawa imekuingia kwa ufupi, angalia kwenye uzi huu ni comment ngapi umecomment halafu jiulize kwanini umekoment yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…