Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Kwani kimenunuliwa kwa kodi nani siyo ya wananchi ukweli utasemwa tena Nyerere ndiye alisema huwezi kujenga barabara au majumba ukasema hayo ni maendeleo sasa hivi tuadhimishe siku ya Nyerere kwa kukataa kauli yake hiyo kwakuwa tunaunga juhudi. Mi siwezi tafsiri ya maendeleo itabakia vile vile
Mnakuwa wajinga hadi mnakera. Kwanini analilia kupanda kitu ambacho kwa maneno yake hakina maana kwa watu.
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Mkuu kama chechefu inageuka kuwa ni chefuchefu, nahisi una kichefuchefu kwa sababu ya uchefuchefu unaoupata kutokana na nondo na spana za Tundu Lissu.
 
Unajifanya wewe ndugu sana wa Nyerere kuliko akina Madaraka na mama yao waliomkaribisha Lisssu na timu yake kulala Mwitongo hivi karibuni? Unaongea pumba tu. Nyerere mwenyewe hakutaka kuabudowa. Alisema viongozi lazima wakubali kukosolewa na kujikosoa. Wewe ni nani mpaka uone dhambi Nyerere kukosolewa?
Oooh, kumbe alikaribishwa Mwitongo!
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Zitto ndie alianza
 
Hapo hata CCM wasio na hatia leo hawavuki Ukerewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Umewasikia wamelalamika. Mnampa chizi ndiyo aongoze chama kuwania Offisi kubwa na nyeti, mna Akili nyie!
 
Jemadari Lissu anawapenda sana Watanzania wenzake yuko tayari kupoteza maisha kwa kuliwa na Mamba lakini afikishe ukombozi kwa Watanzania hii ndio caliba ya kiongozi tumtakae
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Ukijua maana ya ushamba wala hupati tabu .tatizo na wewe ni mshamba vile vile!
 
Huyu ndio kiongozi wa umma kiongozi wa wanyonge siasa zake kama maalim seif atafanikiwa pakubwa sana Tanganyika kama alivyoweza maalim seif kuwabadilisha wazanzibari wakaweza kujitambua ikabakisha wizi wa kura tu
 
Ndo aelewe kwa vitendo umuhimu wa daraja la Kigongo-Busisi.

Angepiga mbizi kabisa kuonesha maendeleo ya vitu hayana maana.
mbona hilo daraja haliendi huko alipoenda
 
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Mshamba huku anataka kutumia alivyovibuni huyo huyo mshamba, kisa ati Kodi ya wananchi utafikiri ndio wameanza kulipa awamu hii.
 
Hivi kuitwa jina lako au ulivyo ni matusi? Jee sio mshamba kweli?
Hivi kweli unawakusanya watu unawaambia Vitambulisho vya wajasiriamali ukienda CRDB au STANBIC Bank unapewa mkopo ni nini kama sio uongo wa kishamba kabisa?
Na ushamba sio tusi bwana! Kama ilivyo Kilaza, bwege nk
Zaidi yule bwana ni kichaaa
 
Mbona kama umepanic?
Wamelalamika sana.
Umepanic wewe budha ndio maana umetoka ulikotoka na kuvamia comment yangu! Dawa imekuingia kwa ufupi, angalia kwenye uzi huu ni comment ngapi umecomment halafu jiulize kwanini umekoment yangu
 
Back
Top Bottom