kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,466
- 4,916
Mnakuwa wajinga hadi mnakera. Kwanini analilia kupanda kitu ambacho kwa maneno yake hakina maana kwa watu.Kwani kimenunuliwa kwa kodi nani siyo ya wananchi ukweli utasemwa tena Nyerere ndiye alisema huwezi kujenga barabara au majumba ukasema hayo ni maendeleo sasa hivi tuadhimishe siku ya Nyerere kwa kukataa kauli yake hiyo kwakuwa tunaunga juhudi. Mi siwezi tafsiri ya maendeleo itabakia vile vile