Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Attachments

  • Screenshot_20201006_123555.jpg
    96.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20201001_213102.jpg
    91.1 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1601975787508.jpg
    101.3 KB · Views: 2
  • IMG_20201011_214103.jpg
    44.4 KB · Views: 2
huyo kiongozi wa nchi anastahili heshima gani kwa kitendo chake cha kumuoza mama yake mzazi kwa mwanaume mwingine kwa mahari ya kuku tena hadharani?

halafu nasikia mama mwenyewe ni mdhaifu masikini..
Anakuhusu si mama yake na wewe oza mama yako
Huu ni uratibu wa mkuu wa wilaya ya ukerewe, Mwl Magembe. Ni mtu hatari akiwa na madaraka, yuko tayari kuua

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nampenda Sana Mwl Magembe ni mtu makini anasimamia Haki sana
 
Wewe ni kenge
 
Eti kivuko kibovu, huyo meneja wa TEMESA na genge lake hawana akili. Wanadhani CCM itatawala milele hapa Tanzania?
Mwacheni Lisu apige mbizi maana yeye hataki maendeleo ya vitu
 
Mwacheni Lisu apige mbizi maana yeye hataki maendeleo ya vitu
We kiazi kamsome baba ako wa taifa kwenye kitabu chake cha Uhuru na maendeleo afu ndo uje ubweke bweke humu ndani kwa wanaume.
 
We panyabuku tangia lini ukawa na akili na ushamkabidhi chakubanga.
Tatizo sio clip za Lisu ttz ni uelewa wako mdogo uliochangiwa na utapiamlo sababu ya umaskini wa wazazi wako ulioletwa na CCM.
Sawa
 
Just One condom could have served the world from this rubbish
 
We kiazi kamsome baba ako wa taifa kwenye kitabu chake cha Uhuru na maendeleo afu ndo uje ubweke bweke humu ndani kwa wanaume.
Hizi hasira zako unamtolea nani sasa hapa?
Nenda kamtolee huyo kibaraka wenu kwenye vyumba vyenu vya faragha.

Sisi hatuwezi kuchagua jitu linaropoka eti maendeleo ya vitu alafu leo linalialia linataka kutumia hivyo vitu, si utaahira huu?

Mwambieni aendelee kuwatetea juu ya faragha zenu mambo ya Urais hawezi
 
mbona hilo daraja haliendi huko alipoenda
Changamoto za vivuko zinafanana maeneo yote nchi hii.(Not reliable)

Kwa kutumia adha aliyokutana nayo Kisorya ataona logic ya madaraja popote nchini.

Hiyo ndo point yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…