naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Uhabarishwe ili iweje? Lisu anapanda chopa Leo kivuko cha nini?We ulioko huko ziwani tuhabarishe kimeanza kupark lini ni Leo au kabla ya leo sababu ya ubovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhabarishwe ili iweje? Lisu anapanda chopa Leo kivuko cha nini?We ulioko huko ziwani tuhabarishe kimeanza kupark lini ni Leo au kabla ya leo sababu ya ubovu
Nani aliyekamatika haswaaTena kawakama kweli nyie manyumbu
Anakuhusu si mama yake na wewe oza mama yakohuyo kiongozi wa nchi anastahili heshima gani kwa kitendo chake cha kumuoza mama yake mzazi kwa mwanaume mwingine kwa mahari ya kuku tena hadharani?
halafu nasikia mama mwenyewe ni mdhaifu masikini..
Nampenda Sana Mwl Magembe ni mtu makini anasimamia Haki sanaHuu ni uratibu wa mkuu wa wilaya ya ukerewe, Mwl Magembe. Ni mtu hatari akiwa na madaraka, yuko tayari kuua
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wewe ni kengeTujiulize Tu JE KAMA KWELI KIVUKO NI KIBOVU NI BUSARA KUHATALISHA MAISHA YA WATU PAMOJA NA YAKE MWENYEWE TL. JE ni Busara kwa MTU anaegombea HIGH OFFICE kukimbilia mtandaoni na Kuandika Mambo amboyo hayajathibitishwa kitaalam kama kweli Kivuko ni kizima ila kauzuiwa tu???
Kuna Wakati Najuulize Hawa watu ni Kama Wahuni Wasioweza Kukabili Chngamoto za Kampenii JE watawezaje Kukabili Chngamoto za Taifa hili Kama kila jambo litalotokea wanalalamika na kuona wanaonewa.
Leo Hii ALIEKUWA ANALIA NA KULALAMIKA MAENDELEO YA VITU ....ANALIA TENA BAADA YA KUDAI KUZUIA KUTUMIA VITU [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] Hizi Kampeni Tuaona Mengi
Na Mnaomsifia Lissu Anakili Kubwa Mtakuwa level sawa ya Ujinga na Lissu yaani Leo Lissu kupanda mtumbwi ni kitu cha kishujaaa sanaaa[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] kwani Lissu anatofauti gani kwa sasa na Wavuvi au wananchi Wa ukelewe mpka akipanda mtumbwi aonekane Shujaa.
Mwisho Hakuna Maendeleo yasio na Msukumo Wa Vitu..wacheni Magufuli ajenge vivuko acheni Ajenge Madaraja Acheni atengeneze Miundo mbinu Ili mpite bila wasiwasi
Tano Tena Wacha Tuapishwe na Wengine Warudi nchini kwao.
Mwacheni Lisu apige mbizi maana yeye hataki maendeleo ya vituEti kivuko kibovu, huyo meneja wa TEMESA na genge lake hawana akili. Wanadhani CCM itatawala milele hapa Tanzania?
matusi ya nn ndugu,tumia lugha ya staha utaeleweka tuAnataka nini na vitu, si aogelee. Kivuko ni maendeleo ya vitu. Mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza!
We kiazi kamsome baba ako wa taifa kwenye kitabu chake cha Uhuru na maendeleo afu ndo uje ubweke bweke humu ndani kwa wanaume.Mwacheni Lisu apige mbizi maana yeye hataki maendeleo ya vitu
Hawa vipi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lissu kachanganyikiwa sana.
Tangu lini bahari imehamia ukerewe... Utopolo bwanaHapo mtumbwi ukitumbukia baharini atasema ni njama za CCM. O
SawaWe panyabuku tangia lini ukawa na akili na ushamkabidhi chakubanga.
Tatizo sio clip za Lisu ttz ni uelewa wako mdogo uliochangiwa na utapiamlo sababu ya umaskini wa wazazi wako ulioletwa na CCM.
Just One condom could have served the world from this rubbishTujiulize Tu JE KAMA KWELI KIVUKO NI KIBOVU NI BUSARA KUHATALISHA MAISHA YA WATU PAMOJA NA YAKE MWENYEWE TL. JE ni Busara kwa MTU anaegombea HIGH OFFICE kukimbilia mtandaoni na Kuandika Mambo amboyo hayajathibitishwa kitaalam kama kweli Kivuko ni kizima ila kauzuiwa tu???
Kuna Wakati Najuulize Hawa watu ni Kama Wahuni Wasioweza Kukabili Chngamoto za Kampenii JE watawezaje Kukabili Chngamoto za Taifa hili Kama kila jambo litalotokea wanalalamika na kuona wanaonewa.
Leo Hii ALIEKUWA ANALIA NA KULALAMIKA MAENDELEO YA VITU ....ANALIA TENA BAADA YA KUDAI KUZUIA KUTUMIA VITU [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] Hizi Kampeni Tuaona Mengi
Na Mnaomsifia Lissu Anakili Kubwa Mtakuwa level sawa ya Ujinga na Lissu yaani Leo Lissu kupanda mtumbwi ni kitu cha kishujaaa sanaaa[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] kwani Lissu anatofauti gani kwa sasa na Wavuvi au wananchi Wa ukelewe mpka akipanda mtumbwi aonekane Shujaa.
Mwisho Hakuna Maendeleo yasio na Msukumo Wa Vitu..wacheni Magufuli ajenge vivuko acheni Ajenge Madaraja Acheni atengeneze Miundo mbinu Ili mpite bila wasiwasi
Tano Tena Wacha Tuapishwe na Wengine Warudi nchini kwao.
Mkuu kumuita Mtu Mpumbavu Mpumbavu siyo tusi.matusi ya nn ndugu,tumia lugha ya staha utaeleweka tu
Shamba sana hilo toto!Siyo bahari Wewe, Ukerewe siyo kisiwa cha baharini, mshamba na mwizi wa jina la Lowasa!
Hizi hasira zako unamtolea nani sasa hapa?We kiazi kamsome baba ako wa taifa kwenye kitabu chake cha Uhuru na maendeleo afu ndo uje ubweke bweke humu ndani kwa wanaume.
Wewe ni jinga na Lisu anajivunia sana kuwa watu jinga kama nyieJust One condom could have served the world from this rubbish
Hadi raha iseee. Tuendelee kuchangia kampeni. Zimebaki wiki mbili tu.Mwamba Lissu operesheni CHAKAZA ....hakuna kurudi Nyuma
Changamoto za vivuko zinafanana maeneo yote nchi hii.(Not reliable)mbona hilo daraja haliendi huko alipoenda
Ill-wishing does not pay. It is a sin that will come back to you before sunset today.Mtumbwi toboka samaki na mamba wapate kitoweo.