Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Kwani si mshamba?
 
Yote hayo yanadhihirisha uonevu unaosemwa na ubaguzi ndani ya taifa letu.Nakuongeza Kura upande was wapenda haki.
Sio yeye aliekuwa anasema kuwa haoni faida ya vivuko vinavyonunuliwa na kufanyiwa ukarabati,huku akijinasibu kuwa hayo ni maendeleo ya vitu? Yeye angepiga mbizi tu.
 
Kwan ushamba ni tusi??
 
"M - shamba" maana yake nini kwani?

Hata wewe ni "m - shamba" tu kwa sababu umezaliwa na kukulia shamba na wazazi wako ni "wa - shamba" vilevile..

Sasa kama hili ni tusi, basi uelewa wako ni lazima uwe questioned..!
 
Sasa kama mshamba kwanini asiambiwe..mwambieni aache ushamba.
 
Huyo ni mshamba
Na kuitwa mshamba sio tusi..
Ukienda nchi zingine Wakullma wakubwa wanapenda kuitwa farm boy au farm girl
Matusi ni kama kudhalilishwa wanawake weusi
Hivi kweli umrwahi kusikia kiongozi yeyote anadharau Akina Mama?
 
Aogelee na Hilo tumbo tuone Kama atatoboa. Oooh tunataka maendeleo ya watu, Magufuli kaleta maendeleo ya vitu. Sasa Hilo li feli anataka la nini, apige mbizi
Kwani kakifanya yeye?
 
Akome si amendeleo ya vitu haya ngoja apande mtumbwi.
 
Hujataja ndege na tija ndogo kiuchumi za sgr na stiglers gorge..miradi ambayo ina athari kubwa hasi kwa maisha ya watu
 
Mara paap!! Mtumbwi unazama😂

Utasikia MtumbwiCCM.

Lakini inshaalah atafika salama.
 
Reactions: UCD
Bora yule anayemtafutia mamake mabwana
 

Zitto ndiye aliyevujisha hiyo siri ya ushamba. Lissu kadandia tu “kama kawaida yake”[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…