This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Umepanic flan ivi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani si mshamba?Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Ama kwa hakika kama Chadema kwenye uchaguzi huu wangemsimamisha mtu legelege basi cha moto wangekiona. Huyu jamaa anapambana kwelikweli!
View attachment 1599690
Na ziwani humo humo anasalimiana na wavuvi
View attachment 1599699
HAPA CHINI NI VIDEO AKIPOKELEWA UKEREWE BAADA YA KUFIKA SALAMA AKITUMIA MTUMBWI
View attachment 1599732
Sio yeye aliekuwa anasema kuwa haoni faida ya vivuko vinavyonunuliwa na kufanyiwa ukarabati,huku akijinasibu kuwa hayo ni maendeleo ya vitu? Yeye angepiga mbizi tu.Yote hayo yanadhihirisha uonevu unaosemwa na ubaguzi ndani ya taifa letu.Nakuongeza Kura upande was wapenda haki.
Huyu nae alikuwa kwenye List ya kuponda eti mh. Magufuli hajui kiingereza hahaha😂Uovu haujawahi kuushinda wema,mwisho was you're Oct.28
Kwan ushamba ni tusi??Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
"M - shamba" maana yake nini kwani?Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Sasa kama mshamba kwanini asiambiwe..mwambieni aache ushamba.Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Huyo ni mshambaLissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Kwani kakifanya yeye?Aogelee na Hilo tumbo tuone Kama atatoboa. Oooh tunataka maendeleo ya watu, Magufuli kaleta maendeleo ya vitu. Sasa Hilo li feli anataka la nini, apige mbizi
Hujataja ndege na tija ndogo kiuchumi za sgr na stiglers gorge..miradi ambayo ina athari kubwa hasi kwa maisha ya watuUna ona ulivyo mjinga, kila alichojenga Magufuli ni Maendeleo ya vitu, hizo barabara, Zahanati, vituo vya afya, Hospitality za Wilaya madaraja haviwagusi watu. Acheni ujinga na muache kuwaona Watanzania wajinga.
Subirini tarehe 28/10/2020 raia watawapa salaam za Kama ni maendeleo ya watu au laa!
Analalamika nini sasa!! Si yeye ameshasema maendeleo ya vitu hayana maana!Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!
Haturudi nyuma!
kashafikaMara paap!! Mtumbwi unazama[emoji23]
Utasikia MtumbwiCCM.
Lakini inshaalah atafika salama.
Bora yule anayemtafutia mamake mabwanaLissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Hata Kivuko kinaweza kuzama pia... Punguzeni ushamba na Pombe wenuHapo mtumbwi ukitumbukia baharini atasema ni njama za CCM. O
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Acheni ujinga, mnaviponda mbona mnasemaga Magufuli kaleta maendeleo ya vitu. Kuku nyieKwani kakifanya yeye?