Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Mamba wa ukara hawakupewa signal wazame naye.

Angetafunwa vikabaki vidole viwili tu kwa ajili ya kuwekwa makumbusho
 
Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake, mambo mengine ni kutia watu gadhabu tu!
Gadhabu ya nini sasa??!! wakati Chadema wameshasema maendeleo ya vitu hayana maana!! Hayo ndiyo matokeo yake unafikiri wafanyakazi wa vyombo hivyo wanajisikiaje wakimsikia akisema hataki maendeleo ya vitu wakati wao wanapata mishahara kupitia vitu/vyombo hivyo!!?
 
Huyo ni mgombea mwenzie. Hata Nape na Kinana wanajua ni mshamba na walisema hivyo. Kama unamwona kiongozi wako mkaribishe nyumbani unywe naye chai. Hujuma zenu za kigaidi zinamwongezea TL umaarufu.
 
Mimi nilimuona Bwege mtozeni alivyo kuwa ana mponda Mwl, mpaka nikawa nawaza huyu mtu ana wazazi kweli? Ingawa kuna mchangiaji moja aliandika kwamba aliomba Radhi/msamaha kwa hilo
 
All people are equal before the law the president is only give the mandate by the commoners......kwahiyo kama nimshamba lazima wanachi walio mchaguwa wajue, jambo ambalo ni la ukweli JPM nilimbukeni wakupindukia
 
Katumia mtumbwi na yuko Ukerewe. Ferry zilikuwepo kati ya Nansio na Kisorya hata kabla Magufuli hajazaliwa. Usidanganye watu. Danganya watoto wako unaowalisha.
Aogelee na Hilo tumbo tuone Kama atatoboa. Oooh tunataka maendeleo ya watu, Magufuli kaleta maendeleo ya vitu. Sasa Hilo li feli anataka la nini, apige mbizi
 
Tayari yupo ukerewe, leo lazima uhare View attachment 1599784
Ni hare na nini kwa sababu ya huyu jamaa. Huyu ni chizi Kama machizi wengine tu. Kushabikiwa Wala siyo issue. Hata Pierry Liquid Kuna kipindi watu walikuwa wanamshabikia. Dudu Baya ana mashabiki hata yule Mchomvu wa XXl ya Clouds ana mashabiki. Usishangae
 
Natamani awahutubie wanaukerewe akiwa kwenye mtumbwi ili maandiko yarudie kutimia ktk hichi kizazi cheti. HABARI NJEMA YA UKOMBOZI LAZIMA IWAFIKIE WATANZANIA WOTE
 
Ushamba sio tusi wewe..


Acha ushamba!
 
Murutunguru, Ukerewe
Tanzania

Kamanda Sijaona Karoli Mgombe ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA Uchaguzi Mkuu 2020 aelezea vibaumbele vya wanaUkerewe wakati akipita kuomba ridhaa ya kura za wananchi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…