matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mamba wa ukara hawakupewa signal wazame naye.
Angetafunwa vikabaki vidole viwili tu kwa ajili ya kuwekwa makumbusho
Angetafunwa vikabaki vidole viwili tu kwa ajili ya kuwekwa makumbusho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu ni mpango wa MunguAma kwa hakika kama Chadema kwenye uchaguzi huu wangemsimamisha mtu legelege basi cha moto wangekiona. Huyu jamaa anapambana kwelikweli!
View attachment 1599690
Na ziwani humo humo anasalimiana na wavuvi
View attachment 1599699
HAPA CHINI NI VIDEO AKIPOKELEWA UKEREWE BAADA YA KUFIKA SALAMA AKITUMIA MTUMBWI
View attachment 1599732
Haya maombi kupitia jina la Magufuli usitarajie loloteMtumbwi toboka samaki na mamba wapate kitoweo.
Gadhabu ya nini sasa??!! wakati Chadema wameshasema maendeleo ya vitu hayana maana!! Hayo ndiyo matokeo yake unafikiri wafanyakazi wa vyombo hivyo wanajisikiaje wakimsikia akisema hataki maendeleo ya vitu wakati wao wanapata mishahara kupitia vitu/vyombo hivyo!!?Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake, mambo mengine ni kutia watu gadhabu tu!
Tayari yupo ukerewe, leo lazima uhareAogelee na Hilo tumbo tuone Kama atatoboa. Oooh tunataka maendeleo ya watu, Magufuli kaleta maendeleo ya vitu. Sasa Hilo li feli anataka la nini, apige mbizi
Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Kavaa life jacketRisk ya mtumbwi kwa mtu wa aina ya Lissu ni kubwa
Mimi nilimuona Bwege mtozeni alivyo kuwa ana mponda Mwl, mpaka nikawa nawaza huyu mtu ana wazazi kweli? Ingawa kuna mchangiaji moja aliandika kwamba aliomba Radhi/msamaha kwa hiloLissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Dua za kishetaniMtumbwi toboka samaki na mamba wapate kitoweo.
All people are equal before the law the president is only give the mandate by the commoners......kwahiyo kama nimshamba lazima wanachi walio mchaguwa wajue, jambo ambalo ni la ukweli JPM nilimbukeni wakupindukiaLissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!
Bila shaka Magu ananuota kila sikuHuyu mwamba watamuhadithia kwenye machapisho yao kwa jinsi anavyowahenyesha.
Ndiyo,! Kodi ya bibi yangu kule kijijini ndio imenunua hicho kivuko! Acha Lisu yeye apige mbizi maana kivuko ni maendeleo ya vituKwani alikinunua Bibi yako??
Katoboe wa mama yakoMtumbwi toboka samaki na mamba wapate kitoweo.
Aogelee na Hilo tumbo tuone Kama atatoboa. Oooh tunataka maendeleo ya watu, Magufuli kaleta maendeleo ya vitu. Sasa Hilo li feli anataka la nini, apige mbizi
Dada unafananisha squirting yako na bahari!Toka lini ukerewe Kuna bahari?Hapo mtumbwi ukitumbukia baharini atasema ni njama za CCM. O
Ni hare na nini kwa sababu ya huyu jamaa. Huyu ni chizi Kama machizi wengine tu. Kushabikiwa Wala siyo issue. Hata Pierry Liquid Kuna kipindi watu walikuwa wanamshabikia. Dudu Baya ana mashabiki hata yule Mchomvu wa XXl ya Clouds ana mashabiki. UsishangaeTayari yupo ukerewe, leo lazima uhare View attachment 1599784
Natamani awahutubie wanaukerewe akiwa kwenye mtumbwi ili maandiko yarudie kutimia ktk hichi kizazi cheti. HABARI NJEMA YA UKOMBOZI LAZIMA IWAFIKIE WATANZANIA WOTEAma kwa hakika kama Chadema kwenye uchaguzi huu wangemsimamisha mtu legelege basi cha moto wangekiona. Huyu jamaa anapambana kwelikweli!
View attachment 1599690
Na ziwani humo humo anasalimiana na wavuvi
View attachment 1599699
HAPA CHINI NI VIDEO AKIPOKELEWA UKEREWE BAADA YA KUFIKA SALAMA AKITUMIA MTUMBWI
View attachment 1599732
Ushamba sio tusi wewe..Lissu ni mtu wa hovyo na domo lake halina breki.. Hafai hata kuwa konda wa dala dala.. Ana mitusi kuliko fundi umeme wa Tanesco.
He has no respect for any one big or small.. Kama anathubutu kumvunjia heshima kiongozi wa nchi kwa kumwita mshamba, je? Ataweza kumuheshimu nani mwingine!