Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Hii kali iwe jua iwe mvua mtaa kwa mtaa yaani ccm wanatamani hata wangekausha ziwa Kama bahari ya shamu ili Lisu asifike ukerewe, kweli hii ni saa ya ukombozi
 
Yeye hata angevuka kwa kubebwa na mamba ni juu yake,kwani anatimiza matakwa ya serikali au chama chake
FB_IMG_1602668125829.jpg
 
Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!...
Hivi hawa ccm wazani Tanzania ni mali yao peke yao!! nawachukia na sizani kama itakuja kuwapenda!! uwezo wa miccm wa kufikiri ni mdogo,!
 
Mshamba huku anataka kutumia alivyovibuni huyo huyo mshamba, kisa ati Kodi ya wananchi utafikiri ndio wameanza kulipa awamu hii.
Mmekamatika kweli kweli mlizoea kupata wapinzani dhaifu wa kuwatisha kisha wanamuachia Mungu.Tendeni haki
 
Kuna watu wanasemaga mimi ni mbishi ila lissu ndiyo mmbishi balaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakubali kushindwa

Ova
 
Tujiulize Tu JE KAMA KWELI KIVUKO NI KIBOVU NI BUSARA KUHATALISHA MAISHA YA WATU PAMOJA NA YAKE MWENYEWE TL. JE ni Busara kwa MTU anaegombea HIGH OFFICE kukimbilia mtandaoni na Kuandika Mambo amboyo hayajathibitishwa kitaalam kama kweli Kivuko ni kizima ila kauzuiwa tu???

Kuna Wakati Najuulize Hawa watu ni Kama Wahuni Wasioweza Kukabili Chngamoto za Kampenii JE watawezaje Kukabili Chngamoto za Taifa hili Kama kila jambo litalotokea wanalalamika na kuona wanaonewa.

Leo Hii ALIEKUWA ANALIA NA KULALAMIKA MAENDELEO YA VITU ....ANALIA TENA BAADA YA KUDAI KUZUIA KUTUMIA VITU 🤣😂🤣😂 Hizi Kampeni Tuaona Mengi

Na Mnaomsifia Lissu Anakili Kubwa Mtakuwa level sawa ya Ujinga na Lissu yaani Leo Lissu kupanda mtumbwi ni kitu cha kishujaaa sanaaa🤣😂🤣😂 kwani Lissu anatofauti gani kwa sasa na Wavuvi au wananchi Wa ukelewe mpka akipanda mtumbwi aonekane Shujaa.

Mwisho Hakuna Maendeleo yasio na Msukumo Wa Vitu..wacheni Magufuli ajenge vivuko acheni Ajenge Madaraja Acheni atengeneze Miundo mbinu Ili mpite bila wasiwasi

Tano Tena Wacha Tuapishwe na Wengine Warudi nchini kwao.
 
Mshamba ni tusi?

Kaambiwa ukweli jiwe ni mshamba tena mshamba sana,limbukeni
Rais wangu Mimi muiteni mshamba sio mbaya huyo Lisu wenu ni limbukeni labda iwe humjui limbukeni yukoje. Hawezi kumtukana Kiongozi wa nchi kisa chama chake kimempa ridhaa ya kugombea urais halafu Kwa ulinbukeni wake anajiona kisha kuwa Rais
 
Mnakuwa wajinga hadi mnakera. Kwanini analilia kupanda kitu ambacho kwa maneno yake hakina maana kwa watu.
Wapi alisema maendeleo ya vitu hayana maana?
Kivuko sio maendeleo ni vyombo vya maendeleo
Kuwa na vivuko vingi afu watu mifukoni hakuna kitu ni ujinga tu.
 
Nimeona bango la kwenye kiduka kwenye picha mojawapo hapo,limeandikwa JF fresh juice.
 
Tujiulize Tu JE KAMA KWELI KIVUKO NI KIBOVU NI BUSARA KUHATALISHA MAISHA YA WATU PAMOJA NA YAKE MWENYEWE TL. JE ni Busara kwa MTU anaegombea HIGH OFFICE kukimbilia mtandaoni na Kuandika Mambo amboyo hayajathibitishwa kitaalam kama kweli Kivuko ni kizima ila kauzuiwa tu???

Kuna Wakati Najuulize Hawa watu ni Kama Wahuni Wasioweza Kukabili Chngamoto za Kampenii JE watawezaje Kukabili Chngamoto za Taifa hili Kama kila jambo litalotokea wanalalamika na kuona wanaonewa.

Leo Hii ALIEKUWA ANALIA NA KULALAMIKA MAENDELEO YA VITU ....ANALIA TENA BAADA YA KUDAI KUZUIA KUTUMIA VITU [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] Hizi Kampeni Tuaona Mengi

Na Mnaomsifia Lissu Anakili Kubwa Mtakuwa level sawa ya Ujinga na Lissu yaani Leo Lissu kupanda mtumbwi ni kitu cha kishujaaa sanaaa[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] kwani Lissu anatofauti gani kwa sasa na Wavuvi au wananchi Wa ukelewe mpka akipanda mtumbwi aonekane Shujaa.

Mwisho Hakuna Maendeleo yasio na Msukumo Wa Vitu..wacheni Magufuli ajenge vivuko acheni Ajenge Madaraja Acheni atengeneze Miundo mbinu Ili mpite bila wasiwasi

Tano Tena Wacha Tuapishwe na Wengine Warudi nchini kwao.
Umemaliza mkuu, wanatuletea kero hapa baada ya uchaguzi wanarudi makwao
 
Tujiulize Tu JE KAMA KWELI KIVUKO NI KIBOVU NI BUSARA KUHATALISHA MAISHA YA WATU PAMOJA NA YAKE MWENYEWE TL. JE ni Busara kwa MTU anaegombea HIGH OFFICE kukimbilia mtandaoni na Kuandika Mambo amboyo hayajathibitishwa kitaalam kama kweli Kivuko ni kizima ila kauzuiwa tu???

Kuna Wakati Najuulize Hawa watu ni Kama Wahuni Wasioweza Kukabili Chngamoto za Kampenii JE watawezaje Kukabili Chngamoto za Taifa hili Kama kila jambo litalotokea wanalalamika na kuona wanaonewa.

Leo Hii ALIEKUWA ANALIA NA KULALAMIKA MAENDELEO YA VITU ....ANALIA TENA BAADA YA KUDAI KUZUIA KUTUMIA VITU 🤣😂🤣😂 Hizi Kampeni Tuaona Mengi

Na Mnaomsifia Lissu Anakili Kubwa Mtakuwa level sawa ya Ujinga na Lissu yaani Leo Lissu kupanda mtumbwi ni kitu cha kishujaaa sanaaa🤣😂🤣😂 kwani Lissu anatofauti gani kwa sasa na Wavuvi au wananchi Wa ukelewe mpka akipanda mtumbwi aonekane Shujaa.

Mwisho Hakuna Maendeleo yasio na Msukumo Wa Vitu..wacheni Magufuli ajenge vivuko acheni Ajenge Madaraja Acheni atengeneze Miundo mbinu Ili mpite bila wasiwasi

Tano Tena Wacha Tuapishwe na Wengine Warudi nchini kwao.
Ko kivuko kinakuwa kibovu tu Lisu akitaka kuvuka
Mbinu za kitoto sana kwa chama kilichopo madarakani 58 years
Afu na nyie vibaraka ambao bibi zenu wanateseka vijijini mnakuja hapa kukenua meno kisa unalipwa buku saba.
 
Tujiulize Tu JE KAMA KWELI KIVUKO NI KIBOVU NI BUSARA KUHATALISHA MAISHA YA WATU PAMOJA NA YAKE MWENYEWE TL. JE ni Busara kwa MTU anaegombea HIGH OFFICE kukimbilia mtandaoni na Kuandika Mambo amboyo hayajathibitishwa kitaalam kama kweli Kivuko ni kizima ila kauzuiwa tu???

Kuna Wakati Najuulize Hawa watu ni Kama Wahuni Wasioweza Kukabili Chngamoto za Kampenii JE watawezaje Kukabili Chngamoto za Taifa hili Kama kila jambo litalotokea wanalalamika na kuona wanaonewa.

Leo Hii ALIEKUWA ANALIA NA KULALAMIKA MAENDELEO YA VITU ....ANALIA TENA BAADA YA KUDAI KUZUIA KUTUMIA VITU 🤣😂🤣😂 Hizi Kampeni Tuaona Mengi

Na Mnaomsifia Lissu Anakili Kubwa Mtakuwa level sawa ya Ujinga na Lissu yaani Leo Lissu kupanda mtumbwi ni kitu cha kishujaaa sanaaa🤣😂🤣😂 kwani Lissu anatofauti gani kwa sasa na Wavuvi au wananchi Wa ukelewe mpka akipanda mtumbwi aonekane Shujaa.

Mwisho Hakuna Maendeleo yasio na Msukumo Wa Vitu..wacheni Magufuli ajenge vivuko acheni Ajenge Madaraja Acheni atengeneze Miundo mbinu Ili mpite bila wasiwasi

Tano Tena Wacha Tuapishwe na Wengine Warudi nchini kwao.
We ulioko huko ziwani tuhabarishe kimeanza kupark lini ni Leo au kabla ya leo sababu ya ubovu
 
Back
Top Bottom