Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivuko kibovuKwani kavuka kwa kutumia kivuko au boti ya kawaida???
Nyie tulieni tu mtakapo jua hamjui ndio mtajua sasaLissu kachanganyikiwa sana.
Hivi hawa ccm wazani Tanzania ni mali yao peke yao!! nawachukia na sizani kama itakuja kuwapenda!! uwezo wa miccm wa kufikiri ni mdogo,!Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!...
Mmekamatika kweli kweli mlizoea kupata wapinzani dhaifu wa kuwatisha kisha wanamuachia Mungu.Tendeni hakiMshamba huku anataka kutumia alivyovibuni huyo huyo mshamba, kisa ati Kodi ya wananchi utafikiri ndio wameanza kulipa awamu hii.
Rais wangu Mimi muiteni mshamba sio mbaya huyo Lisu wenu ni limbukeni labda iwe humjui limbukeni yukoje. Hawezi kumtukana Kiongozi wa nchi kisa chama chake kimempa ridhaa ya kugombea urais halafu Kwa ulinbukeni wake anajiona kisha kuwa RaisMshamba ni tusi?
Kaambiwa ukweli jiwe ni mshamba tena mshamba sana,limbukeni
Wapi alisema maendeleo ya vitu hayana maana?Mnakuwa wajinga hadi mnakera. Kwanini analilia kupanda kitu ambacho kwa maneno yake hakina maana kwa watu.
Umemaliza mkuu, wanatuletea kero hapa baada ya uchaguzi wanarudi makwaoTujiulize Tu JE KAMA KWELI KIVUKO NI KIBOVU NI BUSARA KUHATALISHA MAISHA YA WATU PAMOJA NA YAKE MWENYEWE TL. JE ni Busara kwa MTU anaegombea HIGH OFFICE kukimbilia mtandaoni na Kuandika Mambo amboyo hayajathibitishwa kitaalam kama kweli Kivuko ni kizima ila kauzuiwa tu???
Kuna Wakati Najuulize Hawa watu ni Kama Wahuni Wasioweza Kukabili Chngamoto za Kampenii JE watawezaje Kukabili Chngamoto za Taifa hili Kama kila jambo litalotokea wanalalamika na kuona wanaonewa.
Leo Hii ALIEKUWA ANALIA NA KULALAMIKA MAENDELEO YA VITU ....ANALIA TENA BAADA YA KUDAI KUZUIA KUTUMIA VITU [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] Hizi Kampeni Tuaona Mengi
Na Mnaomsifia Lissu Anakili Kubwa Mtakuwa level sawa ya Ujinga na Lissu yaani Leo Lissu kupanda mtumbwi ni kitu cha kishujaaa sanaaa[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23] kwani Lissu anatofauti gani kwa sasa na Wavuvi au wananchi Wa ukelewe mpka akipanda mtumbwi aonekane Shujaa.
Mwisho Hakuna Maendeleo yasio na Msukumo Wa Vitu..wacheni Magufuli ajenge vivuko acheni Ajenge Madaraja Acheni atengeneze Miundo mbinu Ili mpite bila wasiwasi
Tano Tena Wacha Tuapishwe na Wengine Warudi nchini kwao.
Ko kivuko kinakuwa kibovu tu Lisu akitaka kuvukaTujiulize Tu JE KAMA KWELI KIVUKO NI KIBOVU NI BUSARA KUHATALISHA MAISHA YA WATU PAMOJA NA YAKE MWENYEWE TL. JE ni Busara kwa MTU anaegombea HIGH OFFICE kukimbilia mtandaoni na Kuandika Mambo amboyo hayajathibitishwa kitaalam kama kweli Kivuko ni kizima ila kauzuiwa tu???
Kuna Wakati Najuulize Hawa watu ni Kama Wahuni Wasioweza Kukabili Chngamoto za Kampenii JE watawezaje Kukabili Chngamoto za Taifa hili Kama kila jambo litalotokea wanalalamika na kuona wanaonewa.
Leo Hii ALIEKUWA ANALIA NA KULALAMIKA MAENDELEO YA VITU ....ANALIA TENA BAADA YA KUDAI KUZUIA KUTUMIA VITU 🤣😂🤣😂 Hizi Kampeni Tuaona Mengi
Na Mnaomsifia Lissu Anakili Kubwa Mtakuwa level sawa ya Ujinga na Lissu yaani Leo Lissu kupanda mtumbwi ni kitu cha kishujaaa sanaaa🤣😂🤣😂 kwani Lissu anatofauti gani kwa sasa na Wavuvi au wananchi Wa ukelewe mpka akipanda mtumbwi aonekane Shujaa.
Mwisho Hakuna Maendeleo yasio na Msukumo Wa Vitu..wacheni Magufuli ajenge vivuko acheni Ajenge Madaraja Acheni atengeneze Miundo mbinu Ili mpite bila wasiwasi
Tano Tena Wacha Tuapishwe na Wengine Warudi nchini kwao.
Tena kawakama kweli nyie manyumbuMmekamatika kweli kweli mlizoea kupata wapinzani dhaifu wa kuwatisha kisha wanamuachia Mungu.Tendeni haki
Inahitaji moyo thabiti na imara kama wa TL kupambana na CCM hii mpya iliyohodhi kila kitu.Upande wa pili wanasemaje kuhusu kivuko? Uchaguzi huu una mambo mengi sana na uongo uongo na ujanja vikiwemo.
Ukerewe hakuna bahariHapo mtumbwi ukitumbukia baharini atasema ni njama za CCM. O
We ulioko huko ziwani tuhabarishe kimeanza kupark lini ni Leo au kabla ya leo sababu ya ubovuTujiulize Tu JE KAMA KWELI KIVUKO NI KIBOVU NI BUSARA KUHATALISHA MAISHA YA WATU PAMOJA NA YAKE MWENYEWE TL. JE ni Busara kwa MTU anaegombea HIGH OFFICE kukimbilia mtandaoni na Kuandika Mambo amboyo hayajathibitishwa kitaalam kama kweli Kivuko ni kizima ila kauzuiwa tu???