HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,218
Avuke tu kutumia mtumbwi kwani yeye nani asipande mtumbwi
Mbona wengine wanapanda
Mbona wengine wanapanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia weweeAnataka nini na vitu, si aogelee. Kivuko ni maendeleo ya vitu. Mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza!
Jinga kweli, atumie maendeleo ya watu anayoyahubiri yeye si ataki maendeleo ya vitu. Ile chopa yenu mbona hamuitumii, au mwenye chama kazingua ho ho ho.Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!
Haturudi nyuma!
We Mzee vipi, nawachangamsha tu Makamana hapa. Maana wamezidi kulia liaTulia wewee
Hivi kumbe ndivyo umemwelewa Lissu kwamba hataki vitu kama vivuko? Kama ni hivyo nadhani hata kampeni zake angetembea kwa miguu maana magari anayotumia nayo ni vitu.Anataka nini na vitu, si aogelee. Kivuko ni maendeleo ya vitu. Mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anataka nini na vitu, si aogelee. Kivuko ni maendeleo ya vitu. Mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza!
Ameshasahau mara hii? Kwani Nape alimwitaje Jiwe?Alikuwa anatania tu kama alivyotania mkuu wa wanawake weusi.
Kujadiliwa na kukashifiwa ni mambo tofautiKwamba Mwl. Ni mungu hajadiliwi sio?
Hakajui ata akoAmeshasahau mara hii? Kwani Nape alimwitaje Jiwe?
Jinga kweli, atumie maendeleo ya watu anayoyahubiri yeye si ataki maendeleo ya vitu. Ile chopa yenu mbona hamuitumii, au mwenye chama kazingua ho ho ho.
Aiseehuyo kiongozi wa nchi anastahili heshima gani kwa kitendo chake cha kumuoza mama yake mzazi kwa mwanaume mwingine kwa mahari ya kuku tena hadharani?
halafu nasikia mama mwenyewe ni mdhaifu masikini..
Jiwe ni mshamba namba moja Tanzania.Mshamba mshamba tu. Magu mshamba
Huoni maendeleo ya watu, yamefanikisha Mambo kwenda sawa Kama ilivyopangwa. Mbali na hila zote zinazoratibiwa na maadui was Uhuru na haki.Jinga kweli, atumie maendeleo ya watu anayoyahubiri yeye si ataki maendeleo ya vitu. Ile chopa yenu mbona hamuitumii, au mwenye chama kazingua ho ho ho.
Kivuko ni mali ya urithi ya baba yake jiwe. Hata yale madege kanunua baba yake jiwe. Puuumbaaavu.Anataka nini na vitu, si aogelee. Kivuko ni maendeleo ya vitu. Mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza!