Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amelazimika kuvuka kwa Mtumbwi kuelekea Ukerewe baada ya kuambiwa kuwa kivuko ni kibovu

Avuke tu kutumia mtumbwi kwani yeye nani asipande mtumbwi
Mbona wengine wanapanda
 
Mwenye chama yupo machame anakula faru John. Anajua huyu kibaraka anajichosha Sana, hawezi shinda. Ni jambo la ajabu kumwona huyu jamaa akikaa pembeni kiasi hiki, kipindi cha lowasa alimganda mzee wa watu.
 
Kwa mara ya pili katika kipindi hiki cha kampeni, bila sababu za msingi, hamna kivuko cha [URL='. Yote ni kwa ajili ya kuzuia tusifike huko. Sasa tutavuka kivingine na tutafanya mkutano kama ilivyo ratiba!

Haturudi nyuma!
Jinga kweli, atumie maendeleo ya watu anayoyahubiri yeye si ataki maendeleo ya vitu. Ile chopa yenu mbona hamuitumii, au mwenye chama kazingua ho ho ho.
 
Anataka nini na vitu, si aogelee. Kivuko ni maendeleo ya vitu. Mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza!
Hivi kumbe ndivyo umemwelewa Lissu kwamba hataki vitu kama vivuko? Kama ni hivyo nadhani hata kampeni zake angetembea kwa miguu maana magari anayotumia nayo ni vitu.
Wewe ndiye unayejidhihirisha kwamba ni mpumbavu uliyepitiliza kama huwezi kuelewa maana mtu kusema anataka maendeleo ya watu na siyo vitu. Hata Nyerere alisisitiza sana kuhusu maendeleo ya watu na siyo vitu, kwa hiyo naye alikuwa mpumbavu? Usijitoe ufahamu, unaelewa vizuri sana Lissu anamaanisha nini.
 
Mwambieni Tundu kivuko ni maendeleo ya Vitu na Sasa ndio aelewe hakuna maendeleo ya watu bila vitu

Asingehitaji kivuko angesema hakina ulazima ila sababu kakikosa yeye ndio kaona ulazima wake. Kweli Tundu ni Tundu
 
Iwe jua Iwe mvua lazima kampeni zipigwe .
Screenshot_20201014-164737.png
 
Hongera Rais wa watanzania kutafuta alternative path way kufika Ukelewe.....CCM wana siasa za ki roho mbaya mno.
 
Makocho wa ccm mwambieni huyo bwana wenu anayegeuza vivuko mali yake , atume mamba akapindue mtumbwi kama vipi.

Na wasijaribu kumdhuru mwenye mtumbwi. Chuki zake za kijinga huyo mwendawazimu apeleke kwao Rwanda.
 
huyo kiongozi wa nchi anastahili heshima gani kwa kitendo chake cha kumuoza mama yake mzazi kwa mwanaume mwingine kwa mahari ya kuku tena hadharani?

halafu nasikia mama mwenyewe ni mdhaifu masikini..
Aisee
 
Jinga kweli, atumie maendeleo ya watu anayoyahubiri yeye si ataki maendeleo ya vitu. Ile chopa yenu mbona hamuitumii, au mwenye chama kazingua ho ho ho.
Huoni maendeleo ya watu, yamefanikisha Mambo kwenda sawa Kama ilivyopangwa. Mbali na hila zote zinazoratibiwa na maadui was Uhuru na haki.
 
Anataka nini na vitu, si aogelee. Kivuko ni maendeleo ya vitu. Mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza!
Kivuko ni mali ya urithi ya baba yake jiwe. Hata yale madege kanunua baba yake jiwe. Puuumbaaavu.
 
Back
Top Bottom