Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

Ume Umesema? Hataki kutumia vyombo vya ndani wakati vyombo vya ndani havitaki kurusha taarifa yake!!!! Kuwa reasonable Basi.
 
Mkapa hakuwahi kuhojiwa na waandishi wa habari wa bongo, aliwaona bogus...na mlimchagua mara mbili.
 
Ukweli ni kwamba wananchi wengi wamemuelewa sana rais jinsi amedeal na issue ya corona, sasa Lissu akipuyanga kwenye hilo atapoteza mvuto.
Kwani yeye anazungumza au anaulizwa na kujibu alichoulizwa?
 
Kama Lissu angekuwa raisi wakati huu wa korona tungekufa njaa. Ana sera za ajabu.
 
CHADEMA wanatakiwa kupeleka malalamiko rasmi tume ya uchaguzi na MCT kwa vyombo vya habari kugoma kutangaza matukio ya CHADEMA.
Hatuhitaji msaada wao..... Chadema ni chama cha mioyo ya watz wkt ccm ni chama cha mioyo ya polisi tume ya uchaguzi na msaji wa vyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…