Goliati mbishi
Senior Member
- Apr 2, 2020
- 127
- 115
Ume
Umesema? Hataki kutumia vyombo vya ndani wakati vyombo vya ndani havitaki kurusha taarifa yake!!!! Kuwa reasonable Basi.Huyu anataka kuongoza hii nchi.. huku akikimbilia kutuonyesha hataki kutumia.. vyombo vya habari vya nchini.. huyu angeuza nchi yetu kama angebahatika kuchaguliwa kuwa Rais.
Anaonyesha yupo radhi.. media za nchi za nje ziendelee kuliko za nchini, mpenda mabeberu hajali uchumi wa nchi yetu, wala kusaidia kutengeneza ajira.. kwa sababu kawaona bora Kenyans waendelee, poleni washabiki wake.
Magufuli 💯 Mzalendo