Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

Ume
Huyu anataka kuongoza hii nchi.. huku akikimbilia kutuonyesha hataki kutumia.. vyombo vya habari vya nchini.. huyu angeuza nchi yetu kama angebahatika kuchaguliwa kuwa Rais.

Anaonyesha yupo radhi.. media za nchi za nje ziendelee kuliko za nchini, mpenda mabeberu hajali uchumi wa nchi yetu, wala kusaidia kutengeneza ajira.. kwa sababu kawaona bora Kenyans waendelee, poleni washabiki wake.

Magufuli 💯 Mzalendo
Umesema? Hataki kutumia vyombo vya ndani wakati vyombo vya ndani havitaki kurusha taarifa yake!!!! Kuwa reasonable Basi.
 
Huyu anataka kuongoza hii nchi.. huku akikimbilia kutuonyesha hataki kutumia.. vyombo vya habari vya nchini.. huyu angeuza nchi yetu kama angebahatika kuchaguliwa kuwa Rais.

Anaonyesha yupo radhi.. media za nchi za nje ziendelee kuliko za nchini, mpenda mabeberu hajali uchumi wa nchi yetu, wala kusaidia kutengeneza ajira.. kwa sababu kawaona bora Kenyans waendelee, poleni washabiki wake.

Magufuli 💯 Mzalendo
Mkapa hakuwahi kuhojiwa na waandishi wa habari wa bongo, aliwaona bogus...na mlimchagua mara mbili.
 
Ukweli ni kwamba wananchi wengi wamemuelewa sana rais jinsi amedeal na issue ya corona, sasa Lissu akipuyanga kwenye hilo atapoteza mvuto.
Kwani yeye anazungumza au anaulizwa na kujibu alichoulizwa?
 
Kama Lissu angekuwa raisi wakati huu wa korona tungekufa njaa. Ana sera za ajabu.
 
CHADEMA wanatakiwa kupeleka malalamiko rasmi tume ya uchaguzi na MCT kwa vyombo vya habari kugoma kutangaza matukio ya CHADEMA.
Hatuhitaji msaada wao..... Chadema ni chama cha mioyo ya watz wkt ccm ni chama cha mioyo ya polisi tume ya uchaguzi na msaji wa vyama
 
Back
Top Bottom