Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

Ameenda kupiga kampeni Kenya. Na akirudi lazima apimwe corona na mirungi kichwani aiache huko huko
 
Unaandika kana kwamba wewe ndiye uliyempangia kipindi na ratiba nzima.Yeye ni Mtaalamu na fundi wa sheria.Huna utaalamu wala ufundi wa kumpangia cha kuongea.Tulia tu.Au vipi
 
Yaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
Kwakuwa unaakili ndogo hutamuelewa media za Tanzania zione aibu kwa biasness hii akitumia Media za ndani watakata umeme au watamhujumu sauti au media itapigwa mkwara na tcra na tra vyombo vya kikandamizi mwache atumie media huru za Kenya .
 
Kama kaalikwa na media hiyo why asifanye interview? Mwambieni mgombea wenu naye aende walau BBC lah..miaka 5 ni TBC tu.
 
Ukisoma kanuni za uchaguzi, kuna sehemu inayozuia wagombea kushambuliana kwa matusi ya binafsi. Kama unakumbuka, ubunge wa Wassira ulienguliwa baada ya uchaguzi wa mwaka 1995 kwa sababu Wassira alikuwa anaendesha kampeni za kumtukana Waryoba binafsi.

Unaweza kuleta ushahidi wa kauli yoyote ambayo Lissu kamtukana Magufuli pindi alipokuwa Ulaya na baada ya kurudi?
 
Yaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
Kwani huku unakotaka aongee na media anakubaliwa kuongea nazo na kurusha.
 
Ataingia tu mtego wa nyang'au; manaake jamaa alivyo limbukeni anajisifia kuwa ana damu ya wakenya, duh.
Wakenya maswali Yao huandaliwa na maprofesa wa kulipwa wanapohoji mtu wa nje hasa nchi hasimu kibiashara Kama Tanzania

Lisu lazima ataulizwa maswali mtego ambayo ataingia chapchap mtegoni
 
 
Umeandika vizur San kiongozi
 
Kampeni ya Makonda oyeeeee ilifia wapi ?
 
Lissu awe makini sana kutumia Media za Kenya maana tayari Tanzania na Kenya hatuko na maelewano mazuri.

Ningemshauri atumie Radio ujerumani na BBC hizi ni radio Neutral na zinaushawishi nchini.

Hiki kitengo cha propaganda cha CHADEMA siku hizi kimejaa vilaza watupu.

Fame aliyoijenga Lissu kwa miaka kumi anaweza kuiharibu kwa media talk ya nusu saa tu.

Sijui nani anamshauri kutumia media za Kenya

Cc.CHADEMA
 
Yaani mie huyu simuelewi kabisa, hivi wapiga kula wake wako kenya?, Watanzania wangapi wana access na hizo radio za kenya!
Unajua wakenya wamemsaidiaje huyu Nabii yetu........Wkt serikali yenu inataka afe wakenya walijitolea kwa hali na mali.

Alafu vyombo vyenu takataka mbona haviripoti matukio ya chadema???....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…