Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

Ikulu kuna nini mpaka mtu yupo tayari kuuza nchi yake kwa ajili ya kuwa rais anavoiongelea Tanzania vibaya ugenini hata akishinda urais anadhani kuja kuisafisha itakua kazi rahisi.? nadhani makamanda waangalie jinsi ya kumfunga bolt jamaa kuna kitu hakiko sawa mahali.

ndio yale yale 2015 badala ya kupiga kampeni kumnadi mgombea wakatumia muda huo kumsafisha mgombea wao ambaye walikua wanamtukana miaka nenda rudi.

The issue is urais ni taasisi there is no way mtu kama Lissu atakuja kuwa Rais. kwasababu watu wa kaliba yake ndo wataipeleka nchi kwenye shimo au watarudisha nchi miaka 100 nyuma. Nyalandu was smart
 
IMG-20200810-WA0083.jpg


Jr[emoji769]
 
Lissu awe makini sana kutumia Media za Kenya maana tayari Tanzania na Kenya hatuko na maelewano mazuri.

Ningemshauri atumie Radio ujerumani na BBC hizi ni radio Neutral na zinaushawishi nchini.

Hiki kitengo cha propaganda cha CHADEMA siku hizi kimejaa vilaza watupu.

Fame aliyoijenga Lissu kwa miaka kumi anaweza kuiharibu kwa media talk ya nusu saa tu.

Sijui nani anamshauri kutumia media za Kenya

Cc.CHADEMA
Kama CCM imezuia vyombo vya habari nchi kurusha habari zake, unataka afanyaje?
 
Lissu na Membe wao wanapiga kampeini za hasira binafsi dhidi ya Magufuli; hilo linajulikana kabisa; siyo kuwa wanashindana na sera za CCM. Sasa awe makini atakapokuwa anatumia vyombo vya nje kumtukana Magufuli kama alivyokuwa anafanya alipokuwa Ulaya. Watangazaji wa Kenya wanaweza kabisa kumwuliza maswali yanayoelekea huko, na akishindwa kuwa makini atajikuta anatoa matusi tena, jambo litakalokuwa inakiuka kanuni za uchaguzi.
Ivi kwa mfano ww ndie ungemiminiwa risasi zilezote ungebakia tu kumchekelea huyo Magufuli wako?
 
Kule Tanzania upinzani wameibuka na moto mkali tangu Tundu Lissu tangu aamue kurejea, ile baada ya kuondolewa kwa marisasi awali. Sasa uongozi kule ni kama umepanic vile, wamezuia kabisa jamaa hapati airtime yoyote, vyombo vyote vya habari vimeufyata, hamna hata kimoja kinadiriki kumhoji, na pia vya kimataifa kama BBC wamewekewa sheria kali hamna tena kueleza chochote cha Tanzania bila uhusika wa muwakilishi wa serikali kuwepo karibu, au hata vyombo vya habari huko vimewekewa kwamba lazima chochote cha BBC au CNN watakachotaka kukionyesha kikaguliwe na serikali kwanza.

Sasa kwa hali hiyo Tundu Lissu akaamua kutafuta mwanya kwa kuhojiwa na chombo cha Kenya ambacho hurusha matangazo yake kwa umbali unaokisiwa kufika EAC yote, hapo sasa ndio katuchonganisha moja kwa moja maana Watanzania wa mlengo wa CCM wamelipuka kwenye mitandao wanatukana hadi balaa.
Ushauri wangu kwa wapinzani wa Tanzania, hehehe pambaneni na hali yenu huko, huu mziki ni wenu, mlizembea tangu mwanzo sasa ndama amekua fahali kabisa, mpo kwenye kupumulia mashini na sioni wa kuwasaidia, tunawapenda majirani lakini kwa hili tunawaacha mtarekebishana ndani kwa ndani, hata sisi tulikua kama nyie zaidi ya miaka ishirini iliyopita na tuliiweka sawa.

===================


Tanzanian opposition leader Tundu Lissu, of Chama Cha Demokrasia (Chadema) on Monday, August 10, was interviewed on Radio Citizen's Jambo Kenya morning show hosted by Vincent Ateya.

Notably, the phone interview on the Royal Media Services (RMS) owned-station was his second appearance on Kenyan media in a matter of days, having answered various questions on KTN's Bottomline Africa days earlier on Thursday, August 6.

While interviews of regional leaders on local media are nothing new, Lissu's interview on Radio Citizen sparked an uproar from a section of Tanzanians who demanded to know why he was appearing on Kenyan media as opposed to local media.

Lissu himself addressed the matter during the interview when he revealed that no Tanzanian television or radio station had extended an invite to interview him since he returned to the country on July 27, for fear of state repression.

Lissu, who survived an assasination attempt in September 2017, only recently returned home after years in recovery and spoke on his plans to challenge incumbent President John Pombe Magufuli of Chama Cha Mapinduzi (CCM) during the presidential elections slated for October.

In recent years, multiple reports have alleged that major TV and radio stations in Tanzania had been barred from covering opposition activities.

Chadema's announcement asking their followers to engage Lissu on Radio Citizen, in particular, sparked heated debate.

"Citizen huku nilipo haipatikani kwanini hasihojiwe na media za ndani msirudie huyu anagombea Tanzania sio Kenya mtaaribu

(Citizen doesn't broadcast where I am, why can't he be interviewed on our local media. He is running in Tanzania, not Kenya, you will ruin it)," stated one Leodegard Cyril.

"Media za hapa zinapokea maagizo toka huu, hata wakialikwa Hawaii mfano mzuri ni [redacted] juzi waliweka taarifa za Lissu akipochukua fomu, ghafla wakazifuta hadi mitandaoni.

(Media here is under instructions from above, even if they are invited to cover something they won't. A good example is a (leading station), they aired the news when Lissu submitted various forms only do delete it everywhere including online," claimed one Deo Ryoba.









  • "Kwani mtanzania kuhojiwa na BBC ,Dw,Ntv ni vibaya? Au ni wigo mpana wa huyo mtu kufahamika zaidi huko na wanajua ukweli wake na ukubwa wa ujengaji hoja.
    (What's wrong if a Tanzanian is interviewed on BBC, DW or NTV? Or does it show his reach to many people and that even in other places they respect his arguments?)" wrote Haule Baraka.
    The interview made headlines for other reasons as well, as Lissu declared that Chadema lacked trust in Tanzania's electoral body to conduct a free and fair election.
    "The chairman and the chief executive of the electoral commission were appointed by President Magufuli. They have proved over the years that they are not independent," he stated.


    Listen to Lissu during the interview below:


    Tanzanians Up in Arms Over Radio Citizen Interview [VIDEO]

 
Nashukuru sana mkuu kwa ulichonifanyia. Ungeelewa nilichokizungumza usingejidhalilisha namna hii.
Katika hotuba zake nyingi JPM amekua akitukana na kutoa maneno na kauli za hovyo hovyo, kwanini usipeleke huko ushauri wako?
 
Katika hotuba zake nyingi JPM amekua akitukana na kutoa maneno na kauli za hovyo hovyo, kwanini usipeleke huko ushauri wako?
Mimi sina shida na JPM ambaye hata ungempambanisha na kondoo mimi ningechagua kondoo.

Ila nikukumbushe tu siyo vizuri kumtukana mtu usiyemjua
 
JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
hivi zile video za bomu la arusha ziliishiaga wapi
 
Back
Top Bottom