Subiri oktoba atachapwa zile za wanachi kwenye box la kura.JPM katili sana, ndiye aliyebariki shambulio la Lissu kuchapwa zile mvua za risasi. Muda ukifika tutaweka wazi kila kitu.
Majibu ya yote haya ni oktobaAsingepelekwa Kenya Leo hii angekuwa marehemu. Anaitaja Kenya kutokana na mwelekeo wa maswali. Viruhusuni vyombo vya hapa nyumbani kumuhoji uone kama ataitaja Kenya.
Majibu ya yote haya ni oktoba
Kwani za ndani anaruhusiwa kusitumia?Lissu awe makini sana kutumia Media za Kenya maana tayari Tanzania na Kenya hatuko na maelewano mazuri.
Ningemshauri atumie Radio ujerumani na BBC hizi ni radio Neutral na zinaushawishi nchini.
Hiki kitengo cha propaganda cha CHADEMA siku hizi kimejaa vilaza watupu.
Fame aliyoijenga Lissu kwa miaka kumi anaweza kuiharibu kwa media talk ya nusu saa tu.
Sijui nani anamshauri kutumia media za Kenya
Cc.CHADEMA
Mbona unajihami sana mkuu?Ni kweli, tena hiyo October itakuwa kama ule ushindi wa chaguzi za marudio na SM.
Mkuu changamoto iliyopo ni kubwa na hizo za kimataifa nazo zimefungiwa rasmi.Kwani za ndani anaruhusiwa kusitumia?
Mbona unajihami sana mkuu?
Si ulisema Lisu ni zaidi ya tume?
Kukazwa ndio nini? Hebu fafanua kidogo.Nyinyi si mlikazwa msimchangie damu
Lissu aachane na hii hoja ya corona haitamsaidia.
Hilo suala la corona Lissu anapaswa kuwa nalo makini sana.Ukweli ni kwamba wananchi wengi wamemuelewa sana rais jinsi amedeal na issue ya corona, sasa Lissu akipuyanga kwenye hilo atapoteza mvuto.
Unaroga nao?Tanzania mko level nyingine bana, mnavunjiana nazi milangoni mpka sasa..
Dar ndio the most developed city in tz na bado watu wanarogana..noma sana
Mastaa nao hawajaachwa nyuma, ni mwendo wa kurogana..viongozi serekalini we acha2
Lissu habari ya mujini
Wapambe siyo wagombea; iwapo wapambe wa CCM ndio walikuwa wanamtukana wao siyo wagombea na wala tume haishughuliki nao. Tatizo ni pale mgombea mwenyewe ndiye anayerusha matusi.Kama kanuni za uchaguzi zinazuia kutukanana .......... Mbona Lowassa alitukanwa sana 2015 na hatukusikia mtu alilalamika kuwa kanuni zinavunjwa!!