CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Waandishi wote watanyimwa vibali vya kufanya kazi nchini.Lipieni KTN tuone live na dunia ijue hatuna uhuru wa habari
wanaogopa kufungiwa vyombo vyao. Siyo kuwa wanaipenda CCMOngeeni na WANANCHI mubashara,na maijalibu kuita waandishi wa Habari ,hawazipi kipaumbele habari zenu, wanahabari wote wamepakatwa.
Inaanza saa ngp
Matahira utawajua tu!!Nimemsikia Lissu akisema mahakama hegi....ndiyo iko wapi
Mpaka kibali kije kipatikane press imekwishaLipieni KTN tuone live na dunia ijue hatuna uhuru wa habari
Wanasaidia kwa nmna moja au nyingine sio hvy tu km bado haujajua saiv wmeshakuj n chadema tv sio hvy t hat il channel ya darmpya inasaidia sanOngeeni na WANANCHI mubashara,na maijalibu kuita waandishi wa Habari ,hawazipi kipaumbele habari zenu, wanahabari wote wamepakatwa.
NB;
Sasa hivi ninyi mnajiuza hakuna mabango wala nini,hutubieni Taifa ,andaeni utalatibu wa tumchangie ili muwe live TV,achaneni kabisa na wanahabari.
Hapo ndo kisanga, kwa kifupu upinzani unapambana n mshika mpini ila atadondoka tu for God willTcra itaruhusu?
Ulikuwa unajua nchi inaendeshwa na baadhi ya mawaziri wa miamvuli??umenielewa..Msiache kukubali ofa ya ajira kwa Lisu ambayo Magufuli alitoa,
Kwamba Magufuli akipata awamu nyingine basi lisu atapata kanafasi ka kumfaa kwani Urais hatoshi.
Hatuendi popote tunabaki nyumbani leo kuwasikiliza viongozi wetu mashujaa.
Haya ndiyo maajabu.Msiache kukubali ofa ya ajira kwa Lisu ambayo Magufuli alitoa,
Kwamba Magufuli akipata awamu nyingine basi lisu atapata kanafasi ka kumfaa kwani Urais hatoshi.
Kama hajakuelewa hapo basi atakuwa ana matatizoHaya ndiyo maajabu.
Mara hii umesahau hata ubunge tu Lissu alinyang'anywa, tena ikiambatana na kejeli nyingi za majeruhi "kuwaterekeza wapiga kura wake"?
Yaani hata mzizi wa aibu hamnao kabisa kutoa ahadi za kijinga kama hizi?
Mmeahirisha?!
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa .
Endelea kutegea sikio
Katika wanafiki, huyu huwezi kumtenga na timu ya akina YEHODA, Jinga, johnthe babtist na kadhalika.Kama hajakuelewa hapo basi atakuwa ana matatizo
Updates wapi sasa
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa .
Endelea kutegea sikio
Ha ha hawanahabari wote wamepakatwa.