Tundu Lissu ameongea na waandishi wa habari, afafanua vitisho vya Amsterdam kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi na suala la kuunga mkono Ushoga

Tundu Lissu ameongea na waandishi wa habari, afafanua vitisho vya Amsterdam kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi na suala la kuunga mkono Ushoga

Mwalimu Jk Nyerere alisema.

"Udikteta ni selikali ya watu wachache ama kikundi cha watu kinachotunga sheria kandamizi atakayebisha atakipata cha moto".

Dikteta jiwe hataki kabisa kusikia hivi.
Amekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari hadi Tasnia ya habari imeonekana ni kanjanja mno.

Jiwe out 2020
 
Ongeeni na WANANCHI mubashara,na maijalibu kuita waandishi wa Habari ,hawazipi kipaumbele habari zenu, wanahabari wote wamepakatwa.
wanaogopa kufungiwa vyombo vyao. Siyo kuwa wanaipenda CCM
 
Ongeeni na WANANCHI mubashara,na maijalibu kuita waandishi wa Habari ,hawazipi kipaumbele habari zenu, wanahabari wote wamepakatwa.

NB;
Sasa hivi ninyi mnajiuza hakuna mabango wala nini,hutubieni Taifa ,andaeni utalatibu wa tumchangie ili muwe live TV,achaneni kabisa na wanahabari.
Wanasaidia kwa nmna moja au nyingine sio hvy tu km bado haujajua saiv wmeshakuj n chadema tv sio hvy t hat il channel ya darmpya inasaidia san
 
Msiache kukubali ofa ya ajira kwa Lisu ambayo Magufuli alitoa,

Kwamba Magufuli akipata awamu nyingine basi lisu atapata kanafasi ka kumfaa kwani Urais hatoshi.
Ulikuwa unajua nchi inaendeshwa na baadhi ya mawaziri wa miamvuli??umenielewa..
 
Mwambieni Lisu mambo ya faragha yana mharibia ivyo vitendo havifai na aanze kuvikemea ndani ya chadema.
 
Msiache kukubali ofa ya ajira kwa Lisu ambayo Magufuli alitoa,

Kwamba Magufuli akipata awamu nyingine basi lisu atapata kanafasi ka kumfaa kwani Urais hatoshi.
Haya ndiyo maajabu.

Mara hii umesahau hata ubunge tu Lissu alinyang'anywa, tena ikiambatana na kejeli nyingi za majeruhi "kuwaterekeza wapiga kura wake"?

Yaani hata mzizi wa aibu hamnao kabisa kutoa ahadi za kijinga kama hizi?
 
Kama hajakuelewa hapo basi atakuwa ana matatizo
 
Kama hajakuelewa hapo basi atakuwa ana matatizo
Katika wanafiki, huyu huwezi kumtenga na timu ya akina YEHODA, Jinga, johnthe babtist na kadhalika.
Huyu huwa ana vijibu vya rejareja vya kipuuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom