Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

Waachieni viongozi wenu walijadili hili kwa uangalifu.

Sio swala la kuwafurahisha CCM, bali ni swala la waTanzania wote.

Hakuna sababu ya kuwepo msuguano wowote katika hili. Na ni rahisi sana kuligeuza hili lionekane kuwa baya upande wenu katika macho ya waTanzania kama hamtachukua tahadhari.

Lissu atakaribishwa sana wakati wowote na popote na umati wa waTanzania wote wenye mapenzi na nchi yetu.

Ni kiasi cha kupanga tu vizuri mapokezi hayo.
 
Lissu wala hayumo kufikiriwa kuwa mgombea chadema. Mark my word atashindwa ama atakatwa jina
 
Hata mwenye nukuu ya maneno yake aliyoyaona ni mazuri pia aiweke
 
Makao makuu ya kupanga kwa baba mkwe, pumbffffff zenu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ni vyema hekima na busara ikatumika katika hili, Tayari Mh Rais ameshatangaza maombolezo ya kitaifa ya siku saba ni vyema watu wote tukaheshimu mamlaka wakati huu wa majonzi ya Mzee wetu Mkapa.

TL anaweza kusitisha safari yake na akasogeza mbele tarehe kama kuna haja ya kupokewa kwa ndelemo na vifijo, lakini pia anaweza kushuka tu kimyakimya akaendelea na harakati zake..
 
Anaporudi ni kuwa na angalizo tu kuhusiana na muskatabali wa lolote linaweza kutokea dhidi yake, hii ni Afrika.
 
Hao ndiyo kazi yao kuongea mambo wasiyo yajua
Kenge mkubwa ww, Nani anakudanganya kuwa pale tumepanga?? pumbaaafu ...nenda aridhi kaulizie kuwa prot no.37 mmiliki ni Nani ...bata weee
 
Mbona mnatuchanganya mara tarehe 27 mara 28, tushike lipi maana tuna mzuka wa kwenda kumpokea na kumsindikiza Central Police
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…