Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa wanyoa viduku.
Tundu Lissu umesababisha mioyo ipate changamoto ujue, walikuja kwa njia moja, wanatimka kwa njia milioni mia saba, ona mwingine kafa kiwewe .Kwa vile Lissu anarudi wiki ijayo basi kuna wito nautoa kwenu wa kuweka picha zake kwa wingi sana hapa jukwaani ili kuonyesha kupinga wauaji na kuonyesha kuunga mkono juhudi za Mungu za kuhuisha Uhai wa mtu huyu.
Weka picha nyingi za Lissu kwa kadri uwezavyo
Hakuna atayemchagua mtu aliyemtusi baba wa Taifa.
Tunakuomba Sana Mzee Mtei , utoe neno tena huyu mtu asipate ridhaa ya Chama kwa heshima ya Baba wa Taifa hili.
Atawahi msiba. Karibu sana Bro, tumempoteza Mzee mkapa
Kila siku ni lisu kurudi. Mwaka unaisha sasa. Nyumbu bhanaMwanasiasa wa upinzani nchin Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi nchini humo Julai 28.
Lissu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia chama chake cha CHADEMA Oktoba mwaka huu. Mwanasiasa huyo kwa sasa yuko ughaibuni ambapo alienda kupata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi mwaka 2017.
Akizungumza leo katika mkutano unaoendelea kwa njia ya mtandao ulioandaliwa na taasisi ya The Resistance Bureau, Lissu amesema ameshakata tiketi ya ndege na watanzania watarajie kumpokea Julai 28.
Akijibu swali kuhusu kama anahofu kuwa anaweza kuzuiwa kuingia nchini mwake, Lisu amesema: ''Sina sababu ya kuamini kuwa nitazuiwa kurudi nyumbani, mimi si mhalifu niliondoka nje ya Tanzania nikiwa sina fahamu, nilishambuliwa kwa risasi mara 16 na watu ambao mpaka sasa hawajakamatwa hivyo ninarejea nyumbani kuikabili serikali iliyosema kuwa haina hatia katika tukio hilo la jaribio la kuniua, kunizuia kutadhihirishia dunia kuwa ilihusika na shambulio la mwaka 2017 kama nilivyosema sina sababu ya kuamini kuwa nitazuiwa kurejea nyumbani''. Alieleza Lissu kwenye mkutano huo.
Ujio wa Tundu lissu unawanyima usingizi!
Kurudi ni lazima , labda kwenye mapokeziLoh, kifo kimeshavuruga ujio wake! Tunafanyaje?
Hakuna haja ya kulia mkuuHuku tukinyamaza kwa dk 1 kumlilia Mkapa
Huyo ameshakuwa toothlessHaya bana mjivinjari vile Bashite hana madaraka, vinginevyo angewapiga marufuku au kuwatoa baru.
Huku tukinyamaza kwa dk 1 kumlilia Mkapa