Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Tumefikia hatua ya tukidhani kuwa nchi Ni Mali ya magufuli .
 
Tundu Lisu na viongozi wa Chadema wanajua kabisa uchaguzi huu wanakwenda kushindwa kwa aibu kubwa na ndiomaana viongozi wengi wa juu wa Chadema Dalili zote zinaonyesha wamesha kata tamaa.
Uzi unaelezea jinsi Lissu alivyo na ujasiri wa kutisha na jinsi alivyoanza kuwabadilisha Watanzania kuwa na ari ya kupigania na kusimamia sheria na haki.
Lissu ni Daud mwana wa Yese.
 
Uzi unaelezea jinsi Lissu alivyo na ujasiri wa kutisha na jinsi alivyoanza kuwabadilisha Watanzania kuwa na ari ya kupigania na kusimamia sheria na haki.
Lissu ni Daud mwana wa Yese.
Amina kamanda
 
Masifu ya Mtakatifu TL[emoji3][emoji3]
Unlimited vituko
 
Mapimbi Kama ww waliandika kuwa lissu hawezi kurudi, na akirudi atakamatwa pale airport, akigombea ndani ya chadema hawezi kupitishwa , na akipitishwa na chama Tume haiwezi kumpatia fomu na akipatiwa fomu hawezi kuteuliwa ..nakuuliza wee matanga wa lumumba , kipi kimefanyika kuhusj lissu hadi Sasa?? Lissu ndo rais wa nchi hii , kubari kataa hbr ndo hiyo na jiandaeni kisaikolojia tu
 
Na kuunga mkono,Ndugu T.A Lissu ni Kiongozi pekee kuturudishia Watanzania mema tuliyostahili kwa miaka yote ya Uhuru wetu chini ya CCM tuliyakoseshwa.
Tukiwa na dhamira zetu timamu Yeye ndiyo tumaini letu,tuunganishe nguvu pamoja na kumpigia kura nyingi awe Rais wetu.Nchi hii sasa imefika Njia Panda,maamuzi ni yetu kupitia sanduku LA kura.
 
Chini ya hiyo picha November this year itaandikwa "Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Tundu Lissu".
 
Huu ushauri wako ni muhimu sana kipindi hiki kuliko wakati wowote ule maana kama ni ng'ombe tayari tusha muweza kwa 95%.

Kilichobakia wanachojivunia kwa sasa ni ooo hii tume, hiii tume basi
 
Tumemuacha Lisu atape tape! Kibano chake atakiona tarehe 28 mwezi wa 10

Kale kabeberu kake kamejaribu kutuma tuma vibarua vyake hakuna hata mtu aliehangaika kukajibu.

Mtafurahi sana mwaka huu
 
Tumemuacha Lisu atape tape! Kibano chake atakiona tarehe 28 mwezi wa 10

Kale kabeberu kake kamejaribu kutuma tuma vibarua vyake hakuna hata mtu aliehangaika kukajibu.

Mtafurahi sana mwaka huu
Maneno haya wanasemaga walio kata tamaa ya maisha
 
Ungeandika habari nyingine usiyo muhusu aliyekupa bundle ingetushtua wote!
 
Hao waliokuwa wakisifia kwa kiwango hiko wapo wapi sasa hivi?

Sio kila jambo la ajabu linalosemwa lina baraka kutoka kwa bwana mkubwa.
 
Swali jepesi na gumu pia. Bila shaka swali kuwa mabebaru ni watu gani litapata jibu siku ya mdahalo wa wagombea urais!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…