google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
au wadau wa maendeleoAna maanisha wale wakosoaji, lkn hapo hapo wanapo wajazia bakuli lao hubadilika na kuwaita washirika wa uchumi.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
au wadau wa maendeleoAna maanisha wale wakosoaji, lkn hapo hapo wanapo wajazia bakuli lao hubadilika na kuwaita washirika wa uchumi.
Tumefikia hatua ya tukidhani kuwa nchi Ni Mali ya magufuli .Tangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
Uzi unaelezea jinsi Lissu alivyo na ujasiri wa kutisha na jinsi alivyoanza kuwabadilisha Watanzania kuwa na ari ya kupigania na kusimamia sheria na haki.Tundu Lisu na viongozi wa Chadema wanajua kabisa uchaguzi huu wanakwenda kushindwa kwa aibu kubwa na ndiomaana viongozi wengi wa juu wa Chadema Dalili zote zinaonyesha wamesha kata tamaa.
Tangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
Mapimbi Kama ww waliandika kuwa lissu hawezi kurudi, na akirudi atakamatwa pale airport, akigombea ndani ya chadema hawezi kupitishwa , na akipitishwa na chama Tume haiwezi kumpatia fomu na akipatiwa fomu hawezi kuteuliwa ..nakuuliza wee matanga wa lumumba , kipi kimefanyika kuhusj lissu hadi Sasa?? Lissu ndo rais wa nchi hii , kubari kataa hbr ndo hiyo na jiandaeni kisaikolojia tuSielewi mnaongea ninyi bavichaa?
Kwamba Lisu keshamshinda Magufuli au?
Kwa akili yenu mlifiiri Magufuli atapoteza muda wake aje kujibishana na huyo msaliti?
Lisu na chadema wote nyie ni hopeless!
Lisu alifikiri akija kuna mtu atamsumbuasumbua kumkamata,
Baadae mkasema atakatwa,
Hakatwi mtu ila atakatwa na watz kwenye sanduku la kura.
Mwambieni tutamnyoa kiduku kile
Na kuunga mkono,Ndugu T.A Lissu ni Kiongozi pekee kuturudishia Watanzania mema tuliyostahili kwa miaka yote ya Uhuru wetu chini ya CCM tuliyakoseshwa.Tangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
Tangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
Huu ushauri wako ni muhimu sana kipindi hiki kuliko wakati wowote ule maana kama ni ng'ombe tayari tusha muweza kwa 95%.Na kuunga mkono,Ndugu T.A Lissu ni Kiongozi pekee kuturudishia Watanzania mema tuliyostahili kwa miaka yote ya Uhuru wetu chini ya CCM. Tukiwa na dhamira zetu timamu Yeye ndiyo tumaini letu,tuunganishe nguvu pamoja.Nchi nimefika Njia Panda,maamuzi yetu kupitia sanduku LA kura ni lazima.
Tumemuacha Lisu atape tape! Kibano chake atakiona tarehe 28 mwezi wa 10Mapimbi Kama ww waliandika kuwa lissu hawezi kurudi, na akirudi atakamatwa pale airport, akigombea ndani ya chadema hawezi kupitishwa , na akipitishwa na chama Tume haiwezi kumpatia fomu na akipatiwa fomu hawezi kuteuliwa ..nakuuliza wee matanga wa lumumba , kipi kimefanyika kuhusj lissu hadi Sasa?? Lissu ndo rais wa nchi hii , kubari kataa hbr ndo hiyo na jiandaeni kisaikolojia tu
Maneno haya wanasemaga walio kata tamaa ya maishaTumemuacha Lisu atape tape! Kibano chake atakiona tarehe 28 mwezi wa 10
Kale kabeberu kake kamejaribu kutuma tuma vibarua vyake hakuna hata mtu aliehangaika kukajibu.
Mtafurahi sana mwaka huu
Ungeandika habari nyingine usiyo muhusu aliyekupa bundle ingetushtua wote!Tangu ametoka kwenye tanuru la mateso makali na kubezwa na kukashifiwa na kuitwa majina mabaya ya kila aina hapa duniani.
Amekuwa ni mtu wa kufurahia sana kila anapokuwa anazungumzia hayo madhila yake aliyopitia, anafurahi muda wote.
Amezidi kuimarika zaidi kwa kujiamini kwa kila jambo analolifanya na hivyo kulisimamia, kitu uoga kwake imekuwa ni kitendawili.
Ameweza kuwa kiongozi wa mfano mzuri kwa watanzania kwa kutokuwa na moyo wa malipizi, sifa ambayo wanayo viongozi wateule tu.
Ametuonyesha kuwa hakuna kisichowezekana, ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote.
Hakika mh Lissu ni mtume wa kulikomboa taifa letu, atatuvusha bahari ya matatizo na machungu ya maisha na kutuingiza kwenye nchi ya asali na maziwa.
TWENDE NA LISSU, TUMCHAGUE LISSU.
ANATUFAA WATANZANIA.
View attachment 1549253
Unaweza kuthibitisha hii kauli au nyie ndio praise TIMU ya lumumbaUjinga mtupu,ķbaraka wa mabeberu huyu hatuwezi kukubali atusaliti kijibga jinga wakati watu wanapambana kupaisha uchumi wa nchi
Swali zuri sana.Mabeberu ni kina nani??
Hao waliokuwa wakisifia kwa kiwango hiko wapo wapi sasa hivi?Watawala waovu walikuwa wameshawaaminisha watanzania kuwa tanzania ni mali ya watawala, na kwamba watawaliwa hawaruhusiwi kuhoji, wala kusema chochote zaidi ya kufuata kile kitakachoamuliwa na watawala, kuhoji ikawa kosa la jinai na kila mtu akaogopa kumuongea bwana yule akihofia usalama wake!
Ilikuwa ukitamka jina la bwana yule katika public basi ni katika kusifu na kumuabudu.
Ikafika mbali hata baadhi ya wajinga na wapumbavu wakamuita "mungu" na "yesu" mbaya zaidi eti wakadai ipo siku "MUNGU" atashuka kuja kumuomba msaada mtu yule, hii kufuru kabisa kuwahi kutokea, shame upon the dictator and his failed system!
Viva Mtanzania lissu, umewaondolea madikteta ule utukufu waliodhani wanao, walijifanya miungumtu, aibu yao sasa vile tunawadharau, sio kitu wao!