Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wanavyolipa kodi TRA kama nani?

Naona Mike Pompeo keshaanza yake;This year tutaelewana tu
 
Kama mwananchi na mgonmbea urais. Lazima ajue namna ya kuweka Kofi Rafiki kwa wafanya biashara. Hats weweub unaweza kuhoji tu siyo lazima use na cheo
 
Mkuu kwani Pole Pole kasema nini vile?
 
Kama mgombea urais.

Kama kiongozi wa chama cha upinzani.

Kama Mtanzania.

Kwani kuna katazo la Watanzania kubadilishana mawazo kuhusu kazi zao?
Sasa kwenye kampeni anahubiri kufuta kodi gani?!
 
Mimi sina chama lakini sitaki ujinga unao utaka wewe yaani mpaka una shangaa mtu abaye uliza ili kujua. Hilo lichama lenu limewafanya kuwa wajinga kazi kupongeza na kushangilia hata mambo ya kijinga kabisa. Yaani karne hii una shangaa mtu anaye uliza? Kwani kavunja sheria gani? Kuna mambo ya kushamgaa lakini siyo hilo
Tatizo mko Chadema lakini sera za chama chenu hamzijui!
 
Kwani wewe ni nani,na unauliza kama nani,sura kama nyani anayekula majani acha upunguani,kwanini unacheza juani,vaa miwani,yoo yoo oh yeah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa Msanii.

October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ungejua sera ya Chadema ya kufuta kodi usingenihoji kimbegembege namna hii, lakini kwa sababu uko hapo Ufipa kimigombani zaidi nakupa pole!
 
Kuheshimu watu ni bure,
wewe ushakuwa msukule! sasa usiwe unacoment humu!! Mgombea wenu ana meza vidonge zaidi ya 18 kwa siku🤣🤣🤣.Watanzania wanaotaka mageuzi awamezi wala mgombea wao ana dozi🙏🙏 kama una gombea Uraisi wa Tanzania na Makanisa 2.Rutheran na Catholic awakukubali basi unafanya kazi bure!?Jua hilo !!
 

Ndo ilani yenu hii? Kwan Hujui leo kuna lutheran, jews, muslims, and many more na wote wanatafautiana: unasubiria makanisa ndo wakupigie kura ama?

Cha muhimu ni wananchi wanaokupenda na watakaokupigia kura, ofwhich its open Magufuli anapendwa zaidi
na sikurupuki, huu apa ushahidi wa haraka
 
Ndo ilani yenu hii? Kwan Hujui leo kuna lutheran, jews, muslims, and many more na wote wanatafautiana
Na kesho atakuwa uw Taifa!!🤣🤣🤣aende tu Na FIESTA yake.Wanavijiji awali flyover na madaraja au intersections au mapantoni!! 2020 is Fucking the Wrong Ninger for You and your Chama🤣🤣🤣🤣
 
Wewe unahoji km nani???
 
Mgombea wa Zanzibar leo kaonana na wawekezaji
Sasa kaonana nao kama nani?
 
Alikuwa mbunge
Raisi TLS
Mwenyekit kaimu Chadema
Mgombea uraisi chadema

Haya wewe ni naniii
Hamtaki watu waelemishwe eee
 
"SERIKALI YACHADEMA ITATUMIA WATAALAMU WAKE KUAHAKIKISHA MNAKWENDA KUCHUNGA KWENYE HIFADHI" 😂🤣😂🤣

Tundu Lissu (Mzee Wa Faragha)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…