Bintiwamoyo
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 610
- 827
nashangaa wasiojulikana walikosea nn kwenye yale maelezo
Don’t worry, wazazi wako au watoto wako watakufa kifo kibaya sana. Watakao waua wala hawatakosea maagizo ya akili zao. Hilo nakuombea sana likukute
Wasiojulikana zaidi ya wanne na risasi full magazine walishindwa maneno yako ndio hata hayamfanyo chochote
Au unajua Hana uwezo kwakuwa hamkumlipa stahiki zake na kazi yake mlimpora kikatili.
Tangaza nchi ya chama kimoja basi
Umesahau,maendeleo ya Singida haha kuwa na chama.uwezo upi huo unaongelea? singida amekua mbunge miaka mingap? ushafika singida lakini? sidhan hata kama imequalify kua manispaa, ndo anataka kuongoza tanzania? NO PLZ
Umesahau,maendeleo ya Singida haha kuwa na chama.
Ujue ww jamaa unanifanya nisikitike kuitwa John!?Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Tofautisha kujiinua katika dhambi na kujiinua katika haki.Mungu anazidi kumwinua anayepigania haki na sii vinginevyo.Lissu anaweza akawa ana pointi za msingi sana za maisha ya wananchi ila the way he acts kwa binadam wengine ni kama wengine ni takataka, sasa kwenye issue kama izi Mungu anafanyaga ufundi wake vizuri, anasema! UKijishusha anakuinua, ukijipandisha jiandae kupata aibu
Hiyo "My take" itendee haki acha umburula. Ulitakiwa utoe maoni yako sio unauliza swali.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
This by far is quote of the week. Thank you 🙏🏽 Mkuu 👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽Kwani wewe ni nani,na unauliza kama nani,sura kama nyani anayekula majani acha upunguani,kwanini unacheza juani,vaa miwani,yoo yoo oh yeah.
MtafitiMakamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Source ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Akiwa kama mgombea HALALI wa URAIS Jamhuri ya muungano sawa na huyo unayemdhania eote wana haki sawa ili tuwapime. Kura za wa Tz zitaamua usishangae yajayo ikawa pressure.Hiyo "My take" itendee haki acha umburula. Ulitakiwa utoe maoni yako sio unauliza swali.
Na mtachanganyikiwa sanasasa mbna mnatuchanganya! anagombea kitic cha uraisi ama anataka kufungua biashara kariakoo
Mkuu usiwaze sana huwa yanakabidhi akili kwa Polepole yanabaki na makopo tu yasiyokuwa na akili! Vichwa vimebaki vya kufugia chawa!Mimi hapo ndiyo huwa nashindwa kuelewa mindset ya MaCCM. Ni IQ problem? Wewe umeshangaa kuona anahoji? Unbelievable
Tunataka kizazi Cha kuhoji. Tundu Lissu kaonyesha njia.
MAGUFULI anataka kutuziba mdomo, anunue ndege Kama karanga tusiulize kwanini Hilo Jambo halikupitia bungeni.
Mnataka tuwe MAZEZETA Kama mlivyo wa CHAMA CHA MAZEZETA?