Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Kisiki cha mpingo hakijawahi kitikiswa Wala kutikisika iwe kimataifa ama wapiga zumari wa Chadema, sembuse hiyo,

Mi simo
 
Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?

Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.

Ni hivi, huyo huyo mlemavu, kuongoza nchi sio kubeba matofali. Nchi hii inajali walemavu. Kama mlimtia kilema mkiamini hataweza kugombea urais basi mmekwama. Urais ni uzima wa akili na sio vinginevyo fullstop.
 
Tundu anahoja za kutetea mashoga
Serikali: Kampeni ya kupambana na Ushoga ya RC Makonda sio msimamo wa nchi
[IMG alt="Mwanahabari Huru"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/s/277/277878.jpg?1515588174[/IMG]
Serikali: Kampeni ya kupambana na Ushoga ya RC Makonda sio msimamo wa nchi
Wizara ya Mambo ya Nje imesema kampeni iliyoanzishwa na RC Paul Makonda kukabiliana na ushoga ni mawazo yake binafsi na si msimamo wa Serikali TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
 
.

Jr[emoji769]
 
Arudi tu. aachane na whatsap na youtube.
Musiba alishamruhusu kurudi kugombea URAIS.
Mwenyekiti tulishamchagua
 
Kura ni siri hata mkeo atakushangaa kumlazimisha ampigie tundu na chama chenu kinajiita cha demokrasia

Point of correction, pls....

1. Mimi sina chama tafadhali. Isipokuwa tunampa mtu kura haijalishi atagombea chama gani. Akigombea kupitia chama chako, tutampa

2. Hatulazimishani. Tunashawishi. Tunaelimisha kwa kutoa sababu na vigezo kwamba huyu hafai na badala huyu ndiye anafaa kwa sbb 1, 2, 3......nk nk

3. Uchaguzi ni kampeni ndugu. Kampeni zinaanzia ktk familia na kwenda huko nje. I did it, I will continue doing to others...

Tundu anafaa kuwa Rais....
 
Kwahiyo atarudi nchini wameshamhakikishia usalama wake?

AU ni uraisi wa twitter?
 
Chadema watangaze mgombea mapema watu wapate morari wajitokeze wakajiandikishe. vinginevyo tutajaza nyomi wakati vichinjio hatujakata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…