LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Na hapo hakimu wao Simba hakosi mkuuHaya mahakimu jiandae Meko azima awapigie simu muanze kukandamiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo hakimu wao Simba hakosi mkuuHaya mahakimu jiandae Meko azima awapigie simu muanze kukandamiza
Akiyekubeba kwa miezi 9 yeye si mlemavu? Mbona kakeketwa?Lisu ni unfit hawezi kuwa amiri jeshi mkuu ,atakagua gwalide anachechemea na kukata viono
Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Mkuu,hao ni samaki,hawana cha uanaume. Mwanaume habebwi,anapigana kwa kujibeba mwenyewe.Unajisikiaje kumuweka mwanaume mwenzako kwenye pf?
Akitua tu bongo pingu maana alikimbia dhamana
Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?
Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.
Serikali: Kampeni ya kupambana na Ushoga ya RC Makonda sio msimamo wa nchiTundu anahoja za kutetea mashoga
.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Arudi tu. aachane na whatsap na youtube.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Kura ni siri hata mkeo atakushangaa kumlazimisha ampigie tundu na chama chenu kinajiita cha demokrasia
HahahaTayari mmemnunulia bukta kwa ajili ya kumnadi!?
Pole ndg ushetani umekujaa, wahitaji kuongozwa kwenye sala ya toba. Amen
Lisu atapigwa kipigo cha paka mwiziKisiki cha mpingo hakijawahi kitikiswa Wala kutikisika iwe kimataifa ama wapiga zumari wa Chadema, sembuse hiyo,
Mi simo
Watu wamekagua gwaride na wheel chair huko Algeria.Lisu ni unfit hawezi kuwa amiri jeshi mkuu ,atakagua gwalide anachechemea na kukata viono
Subiri kura zihesabiwe kwanzaLisu atatia aibu maana atapata kura amabazo hata alipogombea ubunge zilikuwa nyingi
Nimepiga magoti nikimuomba Mungu akupe nguvu ya kumkataa shetani na mambo yake yote.Sawa Dada sara