Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Mahakama ya Kisutu inamsubiri, Kheri arudi kesi zake ziishe.
 
Kwa hiyo TL anatafuta huruma ya Watanzania kwa kupigwa risasi na njama za Chadema vile vile kuwatukana Watanzania huko nje? Je, amemaliza kulipa deni analodaiwa Bungeni? Je, ni nani yupo nyuma ya kuwezesha kampeni za TL na Chadema?
 
Mwenyekiti ameridhia?
 
Ngoja tuone kama atafikisha kura za Mamvi maana atakayetangazwa anajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…