Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Fungulia tbc na channel ten zako ulizo zizoea
Ataongea moja kwa moja kutokea wapi bwashee?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataongea moja kwa moja kutokea wapi bwashee?!
Bila tume huru tutampaje kura???
Hawawezi ruhusu hio kitu ya kupokelewa mifumo ya ujamaa hairuhusuDalili moja wako kuwa anapendwa subiri siku ya kurudi nchini sipati picha huo umati
Ila mwizi wa bilioni 1.2 kwa mwezi ndio anawafaa Mkuu?Akipata hata asilimia thelathini + ya kura kama aluzopata Lowasa Mimi nahama nchi,mhuni apewe nchi ,my God
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nani huyo mwizi? By the way kwa serikali hii ya JPM sidhani kama kuna majizi ,maana yote yamekimbiaIla mwizi wa bilioni 1.2 kwa mwezi ndio anawafaa Mkuu?
Sasa huwa mnalalamikia nini?Kwa sasa hatuangalii makunyanzi na mjiandae kisaikolojia maana tunawatupia majalalani huko
Hahaha saaana sanaSasa naona watanzania wamepata chaguo lao
Akitua tu bongo pingu maana alikimbia dhamana
Mwenyekiti ameridhia?Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Wananchi wataamua wanamtaka nani, tungependa tume itende haki.pia ikiwezekana uandaliwe mdahalo Wa kiingereza kwa wagombea wote Wa urais.
Sasa huwa mnalalamikia nini?
Kumbe ushindi mnautafutia huko?mbna mnaweweseka hvyo?