Chuma vs jiwe
Patamu hapo.
Mkuu kwa tume hii Ni kweli, Ila kwa uchaguzi guru na Wa haki mpambano mkaliLisu atatia aibu maana atapata kura amabazo hata alipogombea ubunge zilikuwa nyingi
Haahaa hivi kama jpm ameweza atashindwaje lissu?Lisu ni unfit hawezi kuwa amiri jeshi mkuu ,atakagua gwalide anachechemea na kukata viono
uko nyuma kidogo mkuu , ngoja nitafute muda nitakueleweshaKaandika barua au kachukua fomu? Au mchakato ndani ya CHADEMA huanza hiyo kwa kuandika barua?
Mpambano haujawahi kuacha kuwa mkali siku zote.Mkuu kwa time hii Ni kweli, Ila kwa uchaguzi guru na Wa haki mpambano mkali
Mimi lissu akigombea nitampigiaa kampeni mikoa mitatu bure japo kutangazwa Ni kazi kwa tume hiiakipata 1% ya kura akatambikie,ni chizi tu ndio anaweza kumchagua tundu lissu hakuna la maana alilolifanya katika kipindi chote cha ubunge wake zaidi ya kupayuka ovyo tu.Kama anataka kujipima ubavu anakaribishwa ila ajue Watanzania hawana sababu ya msingi ya kumchagua.Supporting tundu lissu why?The guy has nothing to offer and he always tell lies. T2020JPM mpango mzima na 98% inamhusu JPM.
Jpm sio mlemavu!Haahaa hivi kama jpm ameweza atashindwaje lissu?
Hili ajabu haliwezi kutokea. Anabwabwaja tu Lissu awe rais! Hi saccos iangalie namna ya kupata wabunge ili mwenyekiti aendelee kuchangiwa laki 5 kila mwezi mil 1.5 kila kila mwezi toka viti maalumu.Maajabu hayatoisha. Lissu awe rais....! Hahaaa aisee! Linaweza kuwa ajabu jingine la Dunia.
Haahaa Ni maajabu kama jpm alivyoukwaa urais, anasema alibipu tu akapigiwa.Maajabu hayatoisha. Lissu awe rais....! Hahaaa aisee! Linaweza kuwa ajabu jingine la Dunia.
Tumekuwa watu wa uzushi tuKuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .
View attachment 1468548
Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .
Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Kama jpm aliupata urais sembuse lissu?Hili ajabu haliwezi kutokea. Anabwabwaja tu Lissu awe rais! Hi saccos iangalie namna ya kupata wabunge ili mwenyekiti aendelee kuchangiwa laki 5 kila mwezi mil 1.5 kila kila mwezi toka viti maalumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, anzia hapa kuachana na huo msemo wa "Tume Huru."Bila tume huru tutampaje kura???
Jiwe hapo, kashaanza kuingiwa kiwewe, mtamuua jiwe jamani.
Twende na lisu 2020.
Hapana sio kweli, katiba haimzuii hajatiwa hatiani,Msanii tu huyo ameamua kula hela za kina mangi, kwanza anakesi mahakamani ya kukiuka dhamana kwa ilo anakosa sifa ya ugombea.
Haahaa Ni maajabu kama jpm alivyoukwaa urais, anasema alibipu tu akapigiwa.
Mwambie jpm akazane amtie pingu, nje ya hapo hatariiiLisu anajua akitimba tu hapa pingu