Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

akipata 1% ya kura akatambikie,ni chizi tu ndio anaweza kumchagua tundu lissu hakuna la maana alilolifanya katika kipindi chote cha ubunge wake zaidi ya kupayuka ovyo tu.Kama anataka kujipima ubavu anakaribishwa ila ajue Watanzania hawana sababu ya msingi ya kumchagua.Supporting tundu lissu why?The guy has nothing to offer and he always tell lies. T2020JPM mpango mzima na 98% inamhusu JPM.
Mimi lissu akigombea nitampigiaa kampeni mikoa mitatu bure japo kutangazwa Ni kazi kwa tume hii
 
Maajabu hayatoisha. Lissu awe rais....! Hahaaa aisee! Linaweza kuwa ajabu jingine la Dunia.
Hili ajabu haliwezi kutokea. Anabwabwaja tu Lissu awe rais! Hi saccos iangalie namna ya kupata wabunge ili mwenyekiti aendelee kuchangiwa laki 5 kila mwezi mil 1.5 kila kila mwezi toka viti maalumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu .

View attachment 1468548

Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu kuandika barua kwenye chama chake akiomba kufikiriwa kwenye uteuzi wa kugombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi utakaopigwa octoba 2020 .

Siku yoyote kuanzia sasa ataongea na Wananchi moja kwa moja .
Tumekuwa watu wa uzushi tu
 
Lisu anategeme kura za huruma kama mlemvu wa kuomba pesa pale ubungo stand
Jiwe hapo, kashaanza kuingiwa kiwewe, mtamuua jiwe jamani.

Twende na lisu 2020.
 
Kaja lini tz, au barua ametuma kwa Fedex/ DHL.
Ngoja nisubilie taarifa sahihi kutoka watu wa lumumba na ufipa
 
Back
Top Bottom