Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

So nyie wanawake lisu mmempendea nini
 
Kila muhula chaguo la Mungu jipya hutokea na kutoweka.
 
Wananchi wataamua wanamtaka nani, tungependa tume itende haki.pia ikiwezekana uandaliwe mdahalo Wa kiingereza kwa wagombea wote Wa urais.
Tundu lissu ni sociopath huwezi kushindana na chizi utegemee wananchi wamchague
 
Kila muhula chaguo la Mungu jipya hutokea na kutoweka.
 
Mimi ningemshauri agombee Urais wa Wasafi au Urais wa Mashoga siyo huu wa Tanzania ambao anadhani anaweza kuchaguliwa akiwa Ubeligiji kama Umakamu Mwenyekiti Chadema
 
Ataongea kutoka ukumbi upi hujasema press yake ni wapi sisi waandishi wa habari tuende
 
Ndio mlinde kura kama lowasa
Wananchi wataamua wenyewe bila kujali uwepo wa hiyo tume mnayoitegemea iwafanyie kazi.
Nimekuheshimu sana kukupa jibu hili mtu kama wewe; kwa kawaida hupuuza tu maandishi ya watu wa kundi lenu humu JF.
 
Dikteta jiwe aanze kukarabati magereza mapema. Asante Lissu baba njoo utuondolee hili lishetani katili.
 
Lissu aache tamaa ya madaraka, ataongozaje nchi na huo ulemavu?

Wachaga wanamtumia kama walivyowatumia kina Silinde, Lijualikali, Prof Safari, Lwakatare.

Acha ukabila, ingekuwa vema kama ungehamia Rwanda Burundi au Kenya! Huko ni saizi yako na siyo Tz nchi ambayo haina ukabila(no tribalism, no nepotism)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…