USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
So nyie wanawake lisu mmempendea nini
Unajua brother, Kuna watu waliona aibu kutawaliwa na Baba wa Taifa, na wengine Mwinyi, n.k. Bado Kuna wasiona ubora wa huyu aloyepo. Lakini kwakuwa wananchi waliamu, tuakubali kilicho amuliwa. Wewe aibu unayoiona kwa Lisu wengine hawaioni? Unajua pia kuwa watu wengine wanajiuliza mkeo alikupendea Nini? Wanaona aibu. Lakini mkeo anajua ubora wako. Waache wana wa nchi hiii waamue hatima ya usiyempenda!