Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

tundu lissu ni muongo muongo kama ilivyo kwa machadema mengine, eti huyu agombee urais?? Huyu kwa sasa hamfikii hata Hashim Rungwe.Ni bora ukamsikiliza Hashim Rungwe ukaamini anachokisema kuliko tundu lissu,eti ndio ashindane na JPM?😂😂😂😂😂😂.Mwaka huu chadema mnalo, tundu lissu hata akigombea udiwani hapati, hana cha kuwadanganya watu.
 
Jamani tuchape kazi kwanza hayo Mambo ya urais bado mapema japo CCM wao Kila siku Ni kampeni Hadi imeshakuwa kero
 
Back
Top Bottom