YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Lofa lisu anataka kugombea uraisi mbowe kwenye kikao atamuuliza una shilingi ngapi za kampeni ?
halafu chadema mnachekesha na Lisu mwanasheria koko anachekesha uraisi unaombwa kwa barua au kwa kuchukua fomu ya kugombea?
mgombea kawaida huchukua fomu ya kugombea hili la kuandika barua ndio nalisikia leo toka tanzania ipate uhuru kuanzia udiwani,ubunge na uraisi mtu hajawahi andika barua ya kuomba ni anachukua fomu
Iwekwe kwenye rekodi kuwa tundu lisu ndie mtu wa kwanza Tanzania toka tanzania ipate uhuru kuomba kugombea kwa kuandika barua!! stupid