Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu karipio la kuongeza ubeti kwenye Wimbo wa Taifa

Tatizo huyu sumu ya risasi haijaisha kichwani. Ni mropokaji asiyejua kuwa ana mapingufu makubwa katika Tasnia ya sheria. Alituaminisha Serikali kuibana Barrick Gold tumebugi kumbe yeye ndie kilaza. Ubunge wake pia chali mahakamani. Anadhani anajua kila sheria na kiranja wa sheria nchini asichokijua sheria na siasa ni vitu viwili tofauti. Siasa ni mchezo wa kuviziana mno
 
Vyovyote iwavyo..!tumechoka kama Ni ugoko Basi nikuweka chuma.
 
Wewe ndo inaijua Sana Sheria kuliko Lissu?
 
Kama mteuliwa wa kugombea nafasi ya urais, Tundu Lisu anapaswa kuacha siasa za aina hii.

Angewasiliana na msajili moja kwa moja kuweka heshima kwenye nafasi yake kama mgombea wa nafasi ya urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Aache mipasho isiyo ya lazima, tunafahamu anaifahamu sheria, sasa avae u candidate.
 
[emoji23] kama trump vile...
"Someone tell..."
 
Jamani kwamba chadema hawana watunzi wa nyimbo mpaka wabadirishe maneno ya wimbo wa taifa??Kuna ajenda hapa.wimbo unafundishwa kila kona ya nchi kwa watoto wetu.you are confusing our kids.please stop this.
 
Huko tunakoelekea na hizi political correctness watakuja kushitaki watu kwa kukosea kuimba wimbo wa Taifa, au kuimba wimbo kabla ya kuoga....,au kabla ya kupiga mswaki

Political Correctness gone Mad...
 
Mbona yeye Msajili hakuwasiliana na Chadema moja kwa moja?
 
Exactly!

Kama Mutungi ameyakuza, basi Lissu kayakuza zaidi.

Mambo mengine ni ya ku ignore tu.

Lissu alenge katika kuendesha kampeni yake. Haya mambo mengine madogo madogo awaachie surrogates.
Inawezekana hii ilikuwa ni fimbo inaandaliwa imchape sasa kaichukua mapema. Jaji anafahamu ni nn anafanya. Siasa ni mitego.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…