Asante Mwenyekiti kwa kumwona JJ Mnyika my future President. Mnyika kwa kweli yuko vizuri!Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA ndg Tundu Antipas Lisu amependekeza jina la John John Mnyika kushika nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Baraza Kuu la CHADEMA wamepitisha pendekezo hilo huku wajumbe watatu wakishikilia msimamo wa kutomkubali.
Viva CHADEMA
Huu udini hautakiwi CHADEMAPole sana kwa walutheri wakiwemo askofu Shoo na Bagonza na waprotestant akina Askofu Mwamakula na walokole akina Askofu Mwanamapinduzi chama chenu cha Chadema wakatoliki wamechukua hatamu za chama kiko chini ya wakatoliki Lisu na Mnyika
Pole ziwafikie pia chama cha Christian Democrstic Union cha Ujerumani baba mlezi wa hiari wa Chadema kwa miaka nenda rudi
Akili mgando za kiccm hizoPole sana kwa walutheri wakiwemo askofu Shoo na Bagonza na waprotestant akina Askofu Mwamakula na walokole akina Askofu Mwanamapinduzi chama chenu cha Chadema wakatoliki wamechukua hatamu za chama kiko chini ya wakatoliki Lisu na Mnyika
Pole ziwafikie pia chama cha Christian Democrstic Union cha Ujerumani baba mlezi wa hiari wa Chadema kwa miaka nenda rudi
NdioKeshatangazwa?
Tulia tu tupo na jambo letu, body guard yupo siriaz kinyama 😆Hivi hizi nywele za board guard mnaziona lakini?
Hivi hizi nywele za board guard mnaziona lakini?
Dada yupo smart upstairs na ana misimamo sio ka wale covid 19 hope atapewa kitengo..nilitegemea Catherine Ruge awe Naibu Katibu Mkuu.
..maadam amechaguliwa mwingine ningefurahi kama atateuliwa kuwa mmoja wa wakurugenzi wa sekretariet.
Hivi hizi nywele za board guard mnaziona lakini?
Hongera bibie Salma Kasanzu dah if mpaka leo bado upo na shemejii yule basi endelea kuupiga mwingi ila usimpe pressure maana dah ana wivu ile mbaya tena kupindukia mkagame yule.
Huyu ni wale watu walikuwa wanamtaka Mbowe sababu ya mawazo ya kizamani ya udini wakati Mbowe mwenyewe hakuutaka uongozi aje ayalinde makanisa fulani.Akili mgando za kiccm hizo
sawasawa kabisa.amefanya vyema kumbakisha john mnyika, hata mimi binafsi nilitarajia hiloMwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza kupanga safu yake ya uongozi kwa Kuteua Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu.
Mh. Tundu Lissu amefanya uteuzi kama ifuatavyo
Katibu Mkuu
1. John John Mnyika
Manaibu Katibu Mkuu
1. Aman Golugwa - Naibu Katibu Mkuu Tanganyika (Tanzania Bara)
2. Wakili Ally Ibrahim Juma - Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Uteuzi wa Wajumbe wa Kamati Kuu
1. Godbless Lema
2. Dkt. Rugemeleza Nshala - Mwanasheria Mkuu wa Chama
3. Rose Mayemba
4. Salma Musa Kasanzu
5. Hafidh Ally Salehe
View: https://www.youtube.com/live/n57Tc7XtINo
Hizo Propaganda zenu zimeshindwa kabla hamjaanza.Pole sana kwa walutheri wakiwemo askofu Shoo na Bagonza na waprotestant akina Askofu Mwamakula na walokole akina Askofu Mwanamapinduzi chama chenu cha Chadema wakatoliki wamechukua hatamu za chama kiko chini ya wakatoliki Lisu na Mnyika
Pole ziwafikie pia chama cha Christian Democrstic Union cha Ujerumani baba mlezi wa hiari wa Chadema kwa miaka nenda rudi
Wewe ni mchonganishi, hayawani mkubwa usiyekuwa na Jema. Lema mwenyewe alishasema kabla kuwa hiyo nafasi haiweziLisu amemsaliti lema, chadema watavurugana mapema sana.
Acha kuweweseka😃😀Lisu amemsaliti lema, chadema watavurugana mapema sana.