Mnyika mwisho baada kuhaidiwa katibu mkuu kambadilikia mboweJohn John Mnyika
John Heche
Hata Tundu Lisu na Lema Walikuwa Team Mbowe kabla Mbobezi Wenje haijaingia kiserikali zaidiMnyika mwisho baada kuhaidiwa katibu mkuu kambadilikia mbowe
Unatania sanaHata Tundu Lisu na Lema Walikuwa Team Mbowe kabla Mbobezi Wenje haijaingia kiserikali zaidi
'No hate no fear' hawa walionyesha chuki bila uoga kama komandoo kipens,i yaani 'hate without fear' Tena walikuwa wanaongea na mapovu, sasa kama mtu anakukashifu waziwazi je huyu unaweza kumuweka awe mlinzi wako?Inakoelekea chadema Mwenyezi Mungu ndio anaejua. Ubaguzi umeanza kuonekana kwa team mbowe kuwekwa pembeni.
Taja jina moja team Mbowe ambae Lissu amemchagua tena ktk uongozi wake
John MnyikaInakoelekea chadema Mwenyezi Mungu ndio anaejua. Ubaguzi umeanza kuonekana kwa team mbowe kuwekwa pembeni.
Taja jina moja team Mbowe ambae Lissu amemchagua tena ktk uongozi wake
Wote walimtaka awe katibu mkuu, ila alikua Team Mbowe.Mnyika mwisho baada kuhaidiwa katibu mkuu kambadilikia mbowe
Umewataja wawili tu kati ya malaki ya wanachamaTeam mbowe imetengenezwa na machawa wengi wesio na uwezo thabit wa kufikiri.
Jiulize mtu kama Yericko aliyekuwa haamini kabisa katika ushindi wa Lissu au Ntobi unawachagua kwa sababu zipi watu wenye ufinyu huo wa kufikiri?
Je wana merits? Embu taja kama 10 ambao unaona wanastahili, itakuwa umemsaidia Lissu badala ya kutoa hoja ya ujumla. Kuwa specific itapendeza zaidiUmewataja wawili tu kati ya malaki ya wanachama
Ulitaka watajwe wangapi? Si umeomba utajiwe!! Mbona kila unayetajiwa unaaanza siasa!!Umewataja wawili tu kati ya malaki ya wanachama
Unadhani ni nani aliyewaleta Chadema?Unatania sana