Pre GE2025 Tundu Lissu amteua John Mnyika kuwa Katibu Mkuu. Ateua Manaibu Katibu Wakuu na Wajumbe wa Kamati Kuu
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Poppy, huoni kwamba Mnyika kaachwa for continuity kwa sasa na anaweza kuondolewa baada ya transition?

Si unajua hata kina Timothy Apiyo na Balozi Rupia waliachwa kama Permanent Secretaries kwa muda baada ya marais wapya kuanza kazi, lakini baadaye wakaondolewa.
 
Mnyika ni hazina ya chadema. Kama sio haraka haraka za Zitto yeye na Mnyika waliandaliwa siku nyingi sana kuwa vinara wa chama. Kwahiyo iwe jua iwe mvua hawawezi mtupa maana alishapikwa sana kukaa hapo unaweza ona hata ile mihemko ya bungeni alishaiacha amekua calm and collected. So atakuwepo sana tu hata aje mwenyekiti gani.
 
Huwezi kua na viongozi wa nne wa juu ya Chama bila kuweka Muislamu Tanzania ni nchi yenye hisia kali za dini na kabila japo watu hawataki kulisema wazi wazi huwezi kipanga safu ya kuchukua madaraka ukaacha Wasikuma ambao ni 25% ya wapiga kura.

Waislamu ni very Conservative hawawezi kukupigia kura wasipo ona mwenzao katika iongozi hata ukiwa na ilani ya aina gani hiyo karata ccm inaijua kuicheza vizuri na itaendelea kutawa chadema badilikeni kama mnataka kuchukua madaraka ya nchi.
 
Inakoelekea chadema Mwenyezi Mungu ndio anaejua. Ubaguzi umeanza kuonekana kwa team mbowe kuwekwa pembeni.
Taja jina moja team Mbowe ambae Lissu amemchagua tena ktk uongozi wake
 
Inakoelekea chadema Mwenyezi Mungu ndio anaejua. Ubaguzi umeanza kuonekana kwa team mbowe kuwekwa pembeni.
Taja jina moja team Mbowe ambae Lissu amemchagua tena ktk uongozi wake
'No hate no fear' hawa walionyesha chuki bila uoga kama komandoo kipens,i yaani 'hate without fear' Tena walikuwa wanaongea na mapovu, sasa kama mtu anakukashifu waziwazi je huyu unaweza kumuweka awe mlinzi wako?
 
Wenje ndio kurusi kama hajajitoa mwenyewe mpaka sasa anatakiwa afukuzwe uanachama aende akawe boi wa Abdul .
 
Inakoelekea chadema Mwenyezi Mungu ndio anaejua. Ubaguzi umeanza kuonekana kwa team mbowe kuwekwa pembeni.
Taja jina moja team Mbowe ambae Lissu amemchagua tena ktk uongozi wake
John Mnyika
Amani Golugwa
 
Team mbowe imetengenezwa na machawa wengi wesio na uwezo thabit wa kufikiri.

Jiulize mtu kama Yericko aliyekuwa haamini kabisa katika ushindi wa Lissu au Ntobi unawachagua kwa sababu zipi watu wenye ufinyu huo wa kufikiri?
 
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 
Team mbowe imetengenezwa na machawa wengi wesio na uwezo thabit wa kufikiri.

Jiulize mtu kama Yericko aliyekuwa haamini kabisa katika ushindi wa Lissu au Ntobi unawachagua kwa sababu zipi watu wenye ufinyu huo wa kufikiri?
Umewataja wawili tu kati ya malaki ya wanachama
 
Mtoa mada unateseka ukiwa wapi??pole saaana!!unataka kumpangia lisu kuchagua mafisadi??pesa walizovuna zinawatosha na usiwe na siasa za kukariri au umekumbwa na adui ujinga.
 
Back
Top Bottom