Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Watu wasiojua undani wanabakia kwenye usmati wake!Mwalimu siyo kabisa.
J Mnyika sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wasiojua undani wanabakia kwenye usmati wake!Mwalimu siyo kabisa.
J Mnyika sawa.
Mwenyekiti mpya wa Chadema, Tundu Lissu amempendekeza kwa Baraza Kuu la chama hicho, John Mnyika aendelee kuwa Katibu Mkuu.
Lissu pia amemteua Aman Golugwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Tanganyika (Tanzania Bara)
Wakili Ally Ibrahim Juma ameteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Uteuzi wa Wajumbe wa Kamati Kuu
1. Godbless Lema
2. Dkt. Rugemeleza Nshala - Mwanasheria Mkuu wa Chama
3. Rose Mayemba
View attachment 3210393
Aman Golugwa
View: https://www.youtube.com/live/n57Tc7XtINo
Kubaki kwa Mnyika ni kuunganisha makundi.Watu wasiojua undani wanabakia kwenye usmati wake!
Kwa kweli. Nshala Hana usiasa.Safi kwa Mnyika.
Nshala hamna kitu.
Hapo amechemka kumteua.Kwa kweli. Nshala Hana usiasa.
100%Safi sana naona kamati ya roho mbaya inazidi kukamilika.
Naomba Mheshimiwa mwenyekiti GODLESS LEMA awe MKURUGENZI WA ITIKADI NA UENEZI WA CHAMA.
HAPO KAMATI YA ROHO MBAYA KWA MAFISADI ITAKUWA IMEKAMILIKA KUWAPELEKEA MOTO WALE NZI WA KIJANI.
wajumbe wamepata posho zao?Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA ndg Tundu Antipas Lisu amependekeza jina la John John Mnyika kushika nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Baraza Kuu la CHADEMA wamepitisha pendekezo hilo huku wajumbe watatu wakishikilia msimamo wa kutomkubali.
Viva CHADEMA
Mwenyekiti mpya wa Chadema, Tundu Lissu amempendekeza kwa Baraza Kuu la chama hicho, John Mnyika aendelee kuwa Katibu Mkuu.
Manaibu Katibu Mkuu
1. Aman Golugwa - Naibu Katibu Mkuu Tanganyika (Tanzania Bara)
2. Wakili Ally Ibrahim Juma - Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Uteuzi wa Wajumbe wa Kamati Kuu
1. Godbless Lema
2. Dkt. Rugemeleza Nshala - Mwanasheria Mkuu wa Chama
3. Rose Mayemba
4. Salima Musa Kasanzu
View attachment 3210393
Aman Golugwa
View: https://www.youtube.com/live/n57Tc7XtINo
Hivi hizi nywele za board guard mnaziona lakini?