mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Unahitaji kuwepo kesi? Kuthibitisha kuwa hayo mabilioni yametafunwa, tofauti na kampeni za miaka iliyopita wakitumia chopa, mgombea Urais na M/Kiti (wanachememea kwa majeraha waliopata) zamu hii wanatumia magari na ndege ndogo! Isitoshe hadi sasa hawajaweza kujibu kuhusu kutokuwa na ofisi ya chama badala yake wanaendelea kuwa wapangaji.Nani kafisadi nini??? Kesi imefunguliwa wapi na katiwa hatiani na mahakama ipi???
Wawe jasiri kuwaeleze walipa kodi hayo mabilioni ya ruzuku wameyafanyia nini yenye manufaa kitaifa. Wakiweza kufanya hivyo watakuwa na uhalali wa kuomba ridhaa ya WaTz kukabidhiwa nchi.