Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Nani kafisadi nini??? Kesi imefunguliwa wapi na katiwa hatiani na mahakama ipi???
Unahitaji kuwepo kesi? Kuthibitisha kuwa hayo mabilioni yametafunwa, tofauti na kampeni za miaka iliyopita wakitumia chopa, mgombea Urais na M/Kiti (wanachememea kwa majeraha waliopata) zamu hii wanatumia magari na ndege ndogo! Isitoshe hadi sasa hawajaweza kujibu kuhusu kutokuwa na ofisi ya chama badala yake wanaendelea kuwa wapangaji.

Wawe jasiri kuwaeleze walipa kodi hayo mabilioni ya ruzuku wameyafanyia nini yenye manufaa kitaifa. Wakiweza kufanya hivyo watakuwa na uhalali wa kuomba ridhaa ya WaTz kukabidhiwa nchi.
 
Mchawi na laana ya taifa hili ni ccm
 
Kamanda jenga hoja acha kubwabwaja
Sasa wewe unawashwa washwa nini..
Badala ya kumpigia kampeni Mgombea wako ili akukumbuke tena kwenye teuzi ,wewe umekalia maneno tu kama Kigwa.
 
Waswahili tunasema "ukiona kenge anatoa damu masikioni ujue anakufa"
Lissu anatumia akili kufahamu matakwa ya wananchi wa Zanzibar.Si yeye t hata Mimi bila kupepesa macho ningemnadi Maalim seif Sharif Hamad kwani ndiye kipenzi Cha Wazanzibar na hata wapinzani wote wanalijua Hilo.
 
Mataga mnapigwa spana kila kukicha.
 
Nijibu maswali yangu! Acha kuweweseka mataga mkubwa wewe!!
 
Kamanda propaganda ya Tundu kuuza mgombea Chadema kwa Sefu ndio kupata 100
Nimekwambia hujui kinachoendelea, Ronadol akijiangusha kwenye 18 utasema hajui mpira kumbe mwenzako anatafuta penati.
 
Duh.. lichama limeshindwa kila chaguzi Znz tangu 1995 hadi sasa, lakini wanaendelea kutawala kwa utapeli, hila, ghiliba, nk.. afu kila mara utaskia kinara wao: "Tunamtanguliza Mungu.."
 
Pumba kabisa.. nani kakwambia wananchi wanahitaji ofisi ya chama??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…