kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Unaumia kuhusu hilo?Sasa mna tofauti gani na yule bwana anayekuwa na majina yake mfukoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumia kuhusu hilo?Sasa mna tofauti gani na yule bwana anayekuwa na majina yake mfukoni
Kalale we kibaraka wa mabeberu ccmMaamuzi yote mazito ya chama huamuliwa na vikao vizito vya chama...
Hii habari imekuwa ni mwiba mkali mno kwa CCM, sasa ni dhahiri CCM watumie uzoefu wao kumwomba msaada Bernard na Zitto waokoe jahazi kitu ambacho si chepesi.ACT wazalendo haiwezi Ingia Mtego wenu wa kitapeli ambao hayuko hata kisheria maamuzi kama Hayo hufanywa na kamati kuu ya chama na mkutano mkuu .Lisu kajitamkia tu hana back up ya kamati kuu wala mkutano mkuu na hakuna minute za kikao chochote cha Chadema kilichotamka hivyo!!
Kwa kikao kipi cha Chadema kilichotamka Hayo maamuzi?Hapana hakukatwa bali wameamua tu ku withdraw ili wamuunge mkono mh Maalim Seif
Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali hayo hayo waulize tlp na nccr ambao wamemtangaza Magufuli kua mgombea wao....Lissu ni mwanasheria anayeheshimika, lakini kwahili la jana nimepata mashaka kidogo kalifanya kienyeji mno.
Chadema ni taasisi iliyosajiliwa na inaendesha mambo yake kwa mujibu wa sheria kanuni na taratibu, sasa hili la kuachiana ugombea na ACT mlikubaliana lini? MoU iko wapi? Lissu kama mwanasheria wa chama hebu tuambie ni kikao gani kilichokaa mkakubaliana kumwachia maalimu saif Zanziber?...
Wanahangaika sn hawa ng'ombeUmeandika gazeti zima la mzalendo lkn hakuna lolote zaidi ya upotolo mtupu.
Kweli omba Mungu akupatie akili utaishi maisha ya kuheshimika kuliko wewe unavyo jidhalilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijipe matumaini hewa. Hakuna huo mpango. Wagombea wote wameshapoteza hela zao kwa sasa sahau.Subiri kimbunga na Chadema na ACT wana mikakati mizito.
Ndugu zangu,
Baada ya kuusoma upepo Zanzibar Lissu abadili gia angani badala ya kumnadi mgombea urais wa CHADEMA amemnadi Maalim Seif.
Muda unatoa majibu sasa.
Wale walikaa vikao vya vyama kuamua kuunga mkono mgombea wa CCMKwani nyie uliona vibaya kuungwa mkono na akina Cheyo na Mrema?
Itakuwa alitaka amnadi mwinyiMh. Lissu kweli anatisha! Yaani hata yale yaliyofyatuliwa kwenye mikesha ya mwenge yanafuatilia yanayojiri huko Zanzibar! Ulitaka Mh. Lissu amnadi nani huko Kisiwani?
Sasa ukisikia mtoto hatumwi dukani ndio awamu hii ya pili ya kampeni bampa to bampa tunawachoora tu na fiesta zao wananchi yaaani wasituchukulie poaSubiri kimbunga na Chadema na ACT wana mikakati mizito.
Chadema ni wajinga sana!
Sasa hiyo ni nini?
Sasa hii nchi mtaitawala vipi?
Yani kule act huku chadema, nchi moja itikadi 2.
Hakuna system ya kijinga kugawa mchi vipande namna hii.
Tuliza mshono dogo, mambo ya siasa waachie mabosi wako kina chakubanga ndiyo wanao jua ukweli.Usijipe matumaini hewa. Hakuna huo mpango. Wagombea wote wameshapoteza hela zao kwa sasa sahau.
CHADEMA haijwahi kuwepo Zanzibar na hapo ndio maana Lissu kaona aunge tu mkono.
Swali zuri sana, umesahau na cuf, NCCRKwani nyie uliona vibaya kuungwa mkono na akina Cheyo na Mrema?
Ccm bila fiesta hawana uwezo wa kujaza uwanja hata wa karumeSasa ukisikia mtoto hatumwi dukani ndio awamu hii ya pili ya kampeni bampa to bampa tunawachoora tu na fiesta zao wananchi yaaani wasituchukulie poa
Bonge la comment ya jumanne!Rais wetu wa Tanzania sasa ni Tundu Lissu. Tunamuhitaji yeye zaidi ya anavyotuhitaji.
Unauliza yasiyo kuhusu, wewe ulizia mambo ya fiesta na boringo time.Kwa kikao kipi cha Chadema kilichotamka Hayo maamuzi?
Nakuunga mkono kwa 100%, watanzania wanahitaji mabadiliko na CCM haina nafasi tena mioyoni mwa Watanzania.Maswali hayo hayo waulize tlp na nccr ambao wamemtangaza Magufuli kua mgombea wao....
Lissu atawafumua sana mwaka huu... Magufuli labda ataambulua 10% watz wanataka mabadiliko kila mahali sio kanda ya ziwa wala kati sio kaskazini wala kusini wote hawataki kusikia takataka za ccm