Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amuunga mkono Maalim Seif Urais Zanzibar

Bye wapi sasa. Wabunge tu ni Zaidi ya 80%.. JPM anashinda kwa Zaidi ya 80%.
Hayo ndiyo mawazo ya wanywa gongo wanapo kuwa wanadanganyana huku wakipokezana kilauli cha gongo.

Kubali kataa ccm yenu imeshakataliwa na watanzania, ndiyo maana badala ya kufanya mikutano mnafanya matamasha ya fiesta za bongo movie, bongo fleva na futuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha uvcc a.k.a jeshi la akiba litaenda Zanzibar soon kulinda mapinduzi ya ccm Zanzibar
 
Kwa hiyo mmeona wivu? Vipi kama angempigia debe Mwinyi? Mbona hujalalamika mwenyekiti wenu kumnadi Ezekiel Wenje kule Rorya? Chama kilifanya vikao lini vya kumwunga mkono Wenje?
 
Acha kujipa matumani hewa. CCM iko na watu, bongo fleva wanafurahisha tu watu.

Wewe mwenyewe unajua kabisa huwezi enda kwenye mkutani wa CCM hata kama anaimba Diomond/Alikiba.
 
unawazungumzia watanzania wapi hao?au unamaanisha watanzania wanaoishi ghetto kwako ingawa sina uhakika hata hilo ghetto kama unalo?
 
unawazungumzia watanzania wapi hao?au unamaanisha watanzania wanaoishi ghetto kwako ingawa sina uhakika hata hilo ghetto kama unalo?
Nazungumzia watanzania million zaidi ya 23 ambao wamechoshwa na utawala wa ccm.

Hao watanzania million 23 sasa wameamua kuuchagua upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kimbunga cha Membe hichoooooo!!


Akitoa kauli hadharani na kisha kuandamana na Lissu kwenye kampeni za Lissu itapendeza zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…