Tundu Lissu amvua nguo Lijualikali

Tundu Lissu amvua nguo Lijualikali

Kweli sina uwezo wa kufanya ligi ya matusi na yeyote wala si wewe tu.

Kama ligi za mambo mengine yenye tija kwa kutumia hoja naweza kufanya na wewe bila shida.
Wapi ulipotukanwa ? ni tangu lini jf iliruhusu matusi ?
 
Wapi ulipotukanwa ? ni tangu lini jf iliruhusu matusi ?
Unafikiri ungeniuliza tu naandika kitu gani au naongelea mambo gani bila kuweka neno 'ujinga' ungepungukiwa na kitu mkuu wangu?

I expected more from you, hasa nyakati hizi ambazo unakusudia kuomba kura kwenye nafasi za kisiasa. Ukiwa na hasira au jaziba you will end up like those leaders ambao unawakosoa kwa kukosa uvumilivu au kukosa busara.

Ni hayo tu mkuu.
No hard feelings.
 
Zitto aliwahi kumwambia Lissu kwamba hatamjibu kifaranga, anahitaji mama wa vifaranga (Mbowe) ndiye ajitokeze.

Yale maswali aliyouliza hayajawahi kujibiwa.
 
Lijualikali limeukata mbuyu kwa shoka moja tu!

Shoka moja mbuyu chini!
Usipende kukejeli waliyokupandisha, wakakupa nafasi tena wakati wanakutoa ulikuwa unakaa kwenye vikota vya kampuni ya sukari, nyumba za manamba zile
Ila hoffu kubwa aliyonayo ni Uchaguz anajua harudi
Ndomana anaegemea ccm ashachungulia upepo!

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Madai ya kwamba Lijuakali alipata ubunge kwa juhudi zake ni uongo , Chadema ndio iliyompigania hadi akafanikiwa kuwa mbunge , Tundu Lissu anadai kwamba hata mwaka 2013 Lissu alimpigia kampeni lijuakali kuwa diwani wa Ifakara kwa gharama zake

Tundu Lissu anadai kwamba Baba yake mzazi Lijuakali ni shahidi wa namna Lissu alivyomtoa mtoto wake jela baada ya kufungwa kwa uonevu kwa lengo la kuvuliwa ubunge .

Mh Lissu anadai kwamba hela za chama cha siasa ni pesa za umma , na hukaguliwa na CAG na mahesabu yake hupelekwa kwa Msajili wa vyama vya siasa , Kwahiyo Tuhuma za Lijuakali kwamba hela za michango ya wabunge zinaliwa zinapaswa kupuuzwa , bali inafahamika kwamba kila anayeondoka Chadema kwenda CCM A ama kwenda CCM B hutoa tuhuma zilezile za miaka nenda rudi ili kuwaridhisha waliomtuma .
Amechuja
 
Haka ka kijuakikali kajinga sana kanalialia bungeni kalipelekwa bungeni kulia, Mara eti kufungwa miezi sita... sasa Mandela sindio angeliaga mfululizo kilasaa mpaka alivyotuaga! Kapuuzi sana kanalalama mara nitalima,ntaendesha bodaboda mwishowe kanaomba kazi kwenyechama kilichomfunga yaani ccm tena!!
Kilombero watajiaibisha sana iwapo watakarudisha bungeni!! Kamekula mishahara na marupurupu kamevimbiwa hakaridhiki sasa kanasema kamechoka kutumika vibaya... miaka mitano kametumika kako kimya tuu!! Kwanza ninani kakatumia vibaya? Kametumiwa na wangapi vibaya?
Kangehama kimyakimya sio kumwomba spika bungeni maana siyo kazi ya spika kupokea wanachama.
Akili ndogo ilipata kiki yachama ikaaminika sasa kajidhihirisha alivyo na ujinga mkubwa na alivyokipa chadema shida kumwinua kwa watu
 
Madai ya kwamba Lijuakali alipata ubunge kwa juhudi zake ni uongo , Chadema ndio iliyompigania hadi akafanikiwa kuwa mbunge , Tundu Lissu anadai kwamba hata mwaka 2013 Lissu alimpigia kampeni lijuakali kuwa diwani wa Ifakara kwa gharama zake

Tundu Lissu anadai kwamba Baba yake mzazi Lijuakali ni shahidi wa namna Lissu alivyomtoa mtoto wake jela baada ya kufungwa kwa uonevu kwa lengo la kuvuliwa ubunge .

Mh Lissu anadai kwamba hela za chama cha siasa ni pesa za umma , na hukaguliwa na CAG na mahesabu yake hupelekwa kwa Msajili wa vyama vya siasa , Kwahiyo Tuhuma za Lijuakali kwamba hela za michango ya wabunge zinaliwa zinapaswa kupuuzwa , bali inafahamika kwamba kila anayeondoka Chadema kwenda CCM A ama kwenda CCM B hutoa tuhuma zilezile za miaka nenda rudi ili kuwaridhisha waliomtuma .
Hapo wanajibizana na mpumbavu anae jaribu kuonekana ameondokewa na upumbavu wake

Wa mwache ili ajue thamani ya walio mpigania kujibizana nae nikupoteza na kumpandisha chati
 
kilichobaki ni lijuakali kupiga bomu lake la heroshima jinsi gani ile drama ya kiki ya risasi ilivyochezwa!
 
Usipende kukejeli waliyokupandisha, wakakupa nafasi tena wakati wanakutoa ulikuwa unakaa kwenye vikota vya kampuni ya sukari, nyumba za manamba zile
Ila hoffu kubwa aliyonayo ni Uchaguz anajua harudi
Ndomana anaegemea ccm ashachungulia upepo!

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Tatizo hawakujulishwa mapema, kuwa wanawapandisha ili wawe kitega uchumi cha status core ya chama.
 
Back
Top Bottom