Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Wapi ulipotukanwa ? ni tangu lini jf iliruhusu matusi ?Kweli sina uwezo wa kufanya ligi ya matusi na yeyote wala si wewe tu.
Kama ligi za mambo mengine yenye tija kwa kutumia hoja naweza kufanya na wewe bila shida.
Magu:nawaona,jidanganyeni Tu.
Nmatumizi vipi maana ishu sio michango ishu ni matumizi10% iliyopo kwenye katiba au?
Mh raisi vipi utatualika Tena ikulu kunywa chai _mbowe
Unafikiri ungeniuliza tu naandika kitu gani au naongelea mambo gani bila kuweka neno 'ujinga' ungepungukiwa na kitu mkuu wangu?Wapi ulipotukanwa ? ni tangu lini jf iliruhusu matusi ?
jikite kwenye madaZitto aliwahi kumwambia Lissu kwamba hatamjibu kifaranga, anahitaji mama wa vifaranga (Mbowe) ndiye ajitokeze.
Yale maswali aliyouliza hayajawahi kujibiwa.
jikite kwenye mada
Nyimbo ziko nyingi tu, Kuna ule wa kunyanyasa wabunge wanawake.Mmekaririshwa wimbo mmojatu, mbona albamu ina nyimbo nyingi, ? Kweli ukiwa ccm akili zihama kichwani nikwenda makalioni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona chadema hawakumpinga Mollel aliyesema anamdai Mbowe ml16 alizochangishwa na Mbowe kwa miaka aliyokaa CDM?Leta ushahidi mkuu coz nikisema jiwe alete 1.5tr utalaaumu accusation yangu?
Usipende kukejeli waliyokupandisha, wakakupa nafasi tena wakati wanakutoa ulikuwa unakaa kwenye vikota vya kampuni ya sukari, nyumba za manamba zileLijualikali limeukata mbuyu kwa shoka moja tu!
Shoka moja mbuyu chini!
AmechujaMadai ya kwamba Lijuakali alipata ubunge kwa juhudi zake ni uongo , Chadema ndio iliyompigania hadi akafanikiwa kuwa mbunge , Tundu Lissu anadai kwamba hata mwaka 2013 Lissu alimpigia kampeni lijuakali kuwa diwani wa Ifakara kwa gharama zake
Tundu Lissu anadai kwamba Baba yake mzazi Lijuakali ni shahidi wa namna Lissu alivyomtoa mtoto wake jela baada ya kufungwa kwa uonevu kwa lengo la kuvuliwa ubunge .
Mh Lissu anadai kwamba hela za chama cha siasa ni pesa za umma , na hukaguliwa na CAG na mahesabu yake hupelekwa kwa Msajili wa vyama vya siasa , Kwahiyo Tuhuma za Lijuakali kwamba hela za michango ya wabunge zinaliwa zinapaswa kupuuzwa , bali inafahamika kwamba kila anayeondoka Chadema kwenda CCM A ama kwenda CCM B hutoa tuhuma zilezile za miaka nenda rudi ili kuwaridhisha waliomtuma .
Nyimbo nine ni"La kuvunda,halina unani.Mmekaririshwa wimbo mmojatu, mbona albamu ina nyimbo nyingi, ? Kweli ukiwa ccm akili zihama kichwani nikwenda makalioni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo wanajibizana na mpumbavu anae jaribu kuonekana ameondokewa na upumbavu wakeMadai ya kwamba Lijuakali alipata ubunge kwa juhudi zake ni uongo , Chadema ndio iliyompigania hadi akafanikiwa kuwa mbunge , Tundu Lissu anadai kwamba hata mwaka 2013 Lissu alimpigia kampeni lijuakali kuwa diwani wa Ifakara kwa gharama zake
Tundu Lissu anadai kwamba Baba yake mzazi Lijuakali ni shahidi wa namna Lissu alivyomtoa mtoto wake jela baada ya kufungwa kwa uonevu kwa lengo la kuvuliwa ubunge .
Mh Lissu anadai kwamba hela za chama cha siasa ni pesa za umma , na hukaguliwa na CAG na mahesabu yake hupelekwa kwa Msajili wa vyama vya siasa , Kwahiyo Tuhuma za Lijuakali kwamba hela za michango ya wabunge zinaliwa zinapaswa kupuuzwa , bali inafahamika kwamba kila anayeondoka Chadema kwenda CCM A ama kwenda CCM B hutoa tuhuma zilezile za miaka nenda rudi ili kuwaridhisha waliomtuma .
Lissu ni Makamu Mwenyekiti wa ChademaMaana yangu ni kwamba Lissu naye ni questionable, siyo msemaji wa Mbowe.
Hata yeye siku akiondoka atakuja na allegations hizo hizo.
Tatizo hawakujulishwa mapema, kuwa wanawapandisha ili wawe kitega uchumi cha status core ya chama.Usipende kukejeli waliyokupandisha, wakakupa nafasi tena wakati wanakutoa ulikuwa unakaa kwenye vikota vya kampuni ya sukari, nyumba za manamba zile
Ila hoffu kubwa aliyonayo ni Uchaguz anajua harudi
Ndomana anaegemea ccm ashachungulia upepo!
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app