Tundu Lissu amvua nguo Lijualikali

Kavuliwaje nguo sasa hapo. Cdm mnatumika sana na Mbowe.
Kwani nini kilimliza bungeni mtu mzima kama sio masempele kumuanguka hadharani?!
 

Mwamie Lisu atoke mafichoni, anatuchosha sisi huku tuko juani yeye anogelea huko kivulini, aje aungue na jua ili tuchange mawazo pamoja,

Kwa sasa anatakiwa kuchangia mawazo ya huko aliko.
Kama anaipenda tz aje ili afe au aokoke na hili gonjwa la corona maana kila siku wanasema hakuna hatua zinazochuliwa na serikari. Aje atusaidie kupambana nayo hiyo corona.
 
Hoja yako ni Lissu au Corona ?
 
Walikuwa Hawana uwezo hata ya kununua boxr ya ndani Leo hii eti wanajiona wakoo juu
Kweli ushamba mzigo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Lissu nae kama mwanamke wa baa, yeye sasa anatofauti gani na huyo Lijuakali,mbona hayo anayosema sasa hakuyasema huko nyuma wakati Lijuakali yupo huko kwenye SACCOS yenu.
 
Lissu nae kama mwanamke wa baa, yeye sasa anatofauti gani na huyo Lijuakali,mbona hayo anayosema sasa hakuyasema huko nyuma wakati Lijuakali yupo huko kwenye SACCOS yenu.
Ushajifukiza ?
 

Hivi Lissu analipwa chochote na chama kwa kutuongoza kupitia whatsap?
 
Tuomba picha ya hizo nguo zilizovuliwa
 
Siku Tundu akiondoka Chadema mtalia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya uchaguzi kunakuwa na muda wa kampeni na watu mbalimbali hupangiwa ratiba ya kumuombea kura mgombea lakini hiyo haimaanishi kuwa mgombea mwenyewe hachachariki. Huyo Lissu alikampeni kuanzia siku ya kwanza hadi siku ya mwisho? Lijuakali yeye mwenyewe hakujiangaikia kupiga kampeni siku zote kuliko afisa yeyote wa chama? Kati ya Lijuakali na Lissu nani anajua mazingira ya Ifakara?
Kuhusu kumtetea mahakamani elewa Lissu ni wakili kama maelfu ya mawakili nchini wanaochukua kesi na kulipwa ujira kwa kumtetea mtu na huwa sio siri kila mtu anayefuatilia kesi hujua kuwa fulani anatetewa na wakili gani; hivyo haikuwa ajabu baba yake Lijuakali kujua jina la wakili wa mwanawe. Kwa wakili kumtetea mtu hiyo ni fursa ya kuingiza kipato na inawezekana kampuni ya Lissu inalipwa gharama za uwakili na CHADEMA na zinaweza kuwa kubwa kuliko hata gharama za wastani. Lijuakali hata asingetetewa na Lissu angeweka wakili mwingine yeyote na akatetewa.

Kuhusu suala la CAG, hoja sio matumizi ila hela zimetumikaje je kwa lengo lililokusudiwa? Unaweza ukafanya manunuzi hewa au ukanunua vitu tofauti kwa bei juu tena toka kampuni yako mwenyewe au ya jamaa yako na vitabu vya uhasibu na manunuzi vikawekwa sawa kiasi visiibue hoja ya CAG.
 
wewe unajua kuliko CAG ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…